Mkuu Wacha1 mambo vipi?
Ashley Cole ni chimbuko la shule ya Arsenal yaani Arsenal Academy, kwahio ana Arsenal DNA kwa 100% lol. Tatizo la Ashley ni fedha tu na totoz.
Siku ya jumatatu ndio itaamua nani anakuwa juu ya msimamo wa ligi kwa raha zake.
Arsenal wanatambua kwamba wakipoteza mchezo wake na Chelsea mpaka kufikia jumanne asubuhi Arsenal watakuwa wakishikilia nafasi ya nne.
Kwani Man City wanaweza kuifunga Fulham na Liverpool wanaweza pia kushinda kwao Anfield dhidi ya Cardiff City.
Hivyo Arsenal hawachukulii mechi ya jumatatu kirahisi hivyo na pia Arsenal hawajawahi kushindwa mechi tatu mfululizo labda sijui iweje.
Mimi naamini tutaifunga Chelsea angalau 1-0 na baadae tunaweza kusumbuliwa kidogo na West Ham kule uwanjani kwao Upton Park.
Tusubiri jumatatu.
COYG!

nadra sana gunnerz kupoteza game 3 mfululizo labda enzi za george graham
Wakuu Mfarisayo na T Cleverly, heshima mbele.
Mimi namaanisha timu yetu ya Gunners katika msimu huu haijawahi kupoteza mechi tatu mfululizo na mpaka sasa tumepoteza mechi tano katika vipindi tofauti ukiondoa matokeo ya Aston Villa, Man Utd, Man City (PL), Chelsea (Carling Cup),na Napoli (CL).
Lakini pia inaonyesha jinsi ninyi wawili pamoja na haters wengine mnavyokosa usingizi na upepo wa Gunners, the only club nchini UK yenye uwanja wake wenyewe unayoingiza pesa yake yenyewe na inaitumia pesa hiyo "self generated revenues" kujiendesha- yaani "operating costs", mfano ni Mesut Ozil ambae amegharimu milioni 42 na pesa hii haikuwa mkopo bali ni hundi tu iliandikwa na kusainiwa.
Na labda niwakumbushe tu kwamba Man Utd bado wanadaiwa na Arsenal sehemu ya milioni 24 walizomnunulia Robin Van Persie na hii ni lazima uwe mwanachama wa AST ndio uweze kufahamu.
Wengi hawataki kuamini, lakini ni Wenger alieweza na hapo ndipo chuki ilipo kwani tatizo kubwa ni kwamba Arsene Wenger ni Mfaransa alieleta mabadiliko kwenye mtindo wa uchezaji mpira nchini Uingereza.
Mimi nikiwa gunner naamini wachezaji wa Arsenal mpaka wanacheza na Man City walikuwa wapo hoi (hiyo inaitwa (fatigue)na kila mmoja hasa Jack Wilshere hakuwa at their best. Na hiyo ni kutokanana kucheza mechi tatu mfululizo tokea ile ya Everton, halafu Napoli na hii ya Man City.
Lakini sasa hawatakuwa na sababu ya kushindwa mechi ya jumatatu na Arsene Wenger atachagua first 11 yake kamili ambayo ndioya ushindi. Jack Wilshere anapumzika kutokana na adhabu na kwenye ulinzi Thomas Vermaelen atacheza badala ya Laurent Koscielny.
Nafahamu kwamba Chelsea hawana matatizo mengi kwani Michael Essien ndie anaekosekana kwa kuwa na kadi njano tatu.
Hivyo naamini mechi ya jumatatu ndio ya msingi zaidi na tunawaaminia wachezaji wetu na hadi kufikia Ijumaa asubuhi tunaweza kuwa tunaongoza ligi hii ngumu.
Why always me???
Pumba? What Professor achieved is more than what Mashity has done I do not know in how many years. BTW you arent even Manshity supporter but a bloody thirst glory hunter. Phew! Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mfarisayo
Ati na huyu ni great tinker chacha habari za Sure boy zinahusiana vipi na Gunners? Hebu nenda kamsaidie Moye No msishuke daraja ..... .... .. khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mmeona mashabiki damu hao