TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
Haters bhana!! Gunners kupangwa The Bavarian wanasema ndio mwisho wa Arsenal mpira hauchezwi mdomoni Jaman mpira unachezwa katika pitch na hapo ndipo mshindi anapatikana, mshindi hapatikani midomoni.
kabla game haijachezwa kuna prediction....na ndio maana kuna betting business.....na on paper arsenal anatolewa ingawa kwenye mpira chochote kinaweza kutokea[arsenal pia anaweza kushinda]....lakini prediction na betting zote so far zina favor bayern munich......