Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

With Borrusian winning 3 -1 against Napoli, that leaves the two teams (Napoli and Borrusia) with 9 points each. Last games are crucial....
 
article-2514013-19AA1D5F00000578-793_964x389.jpg

Wakuu wa Gunners hongera zenu naona vijana wanaendelea kutoa dozi tu ..... ...... safi sana .... ....

article-2514013-19A9973E00000578-741_634x447.jpg

What a start: Jack Wilshere wheels away
after scoring after just 29 seconds

article-2514013-19A9FD9000000578-504_634x456.jpg

Carrying weight of expectation: Olivier Giroud tries to shake off
Marseille defender Mario Lemina

BTW nitakuwa rasmi jukwaani baada ya 15th December nitakapowasili Alaska .... ...... .... ... .... baada ya kupumnzika kiduchu na harakati za kila siku, msikonde nitarudi na vidonge tosha vya kuweza kuwalaza Manure na Chelsick kwa miongo kadhaa .... ..... ... ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Game ilikuwa poa sana Point 3 muhimu zimechukuliwa sasa tunawasubiri Napoli, Na sio siri game itakuwa ngumu saana.
 
BTW nitakuwa rasmi jukwaani baada ya 15th December nitakapowasili Alaska .... ...... .... ... .... baada ya kupumnzika kiduchu na harakati za kila siku, msikonde nitarudi na vidonge tosha vya kuweza kuwalaza Manure na Chelsick kwa miongo kadhaa .... ..... ... ..
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Unamkumbuka huyu alivyowafanya?

BTW huyu jamaa ana medali 13 za ubingwa wa EPL, sawa kabisa na za goons toka genge limeundwa karne ya 19!!
 
Attachments

  • bada0a6b06aa77aef9b2ae8d25cf602d.jpg
    bada0a6b06aa77aef9b2ae8d25cf602d.jpg
    57.8 KB · Views: 104
  • 6954ccb4f05e1d2b62f41bd7250e5397.jpg
    6954ccb4f05e1d2b62f41bd7250e5397.jpg
    49.8 KB · Views: 94
Hahahahaha #mburukenge bila kupita mtaa huu siku haiendi lol!!!

Arifu, kumbe upo? Umepotea kabisa kule mitaa yangu?

Hivi uliona hii?
 
Attachments

  • 8decc7d79cd1561fb82b919838c05711.jpg
    8decc7d79cd1561fb82b919838c05711.jpg
    22.8 KB · Views: 96
  • Thanks
Reactions: BAK
Nipo banaaa, imeshakuwa shida mtaani, #mburukenge wameona mwezi basi kelele moja kwa moja 🙂🙂

Arifu, kumbe upo? Umepotea kabisa kule mitaa yangu?

Hivi uliona hii?
 
Back
Top Bottom