Ukitaka kujua Manager mzuri muangalie Arsene Wenger utaelewa nini maana ya Manager badala ya Football Coach kuanzia kwenye kusajili mpaka kwenye mafanikio uwanjani,sasa kwa kuangalia huwezi kuamini kuwa arsenal inacheza na Foward mmoja wa uhakika Giroud lakini wamenunua kiungo mchezeshaji ambaye atafanya hata hao mafowadi wazuri wavutiwe na club ya arsenal hayo ndio mambo ambayo manager unatakiwa kuangalia kwenye team yako,na uhakika January tutapata stricker wa uhakika kutokana na maendeleo ya team inavyoendeleaHongera gunners wote kwa ushindi muhimu leo!! Kesho tunaangalia kwa utulivu jinsi watu wanavyogombania nafasi!!!
Nzi where are you Bro!? Come this way please to celebrate with us
I told you sooooooo 3-0, Nzi nilikwambia jana hawa wetu tena nikakupa na idadi ya magoli kwi kwi kwi kwi rahaaaaaaaaaa ndani ya rohooooo
Kwi kwi kwi kwi kwi Nani kapotea Bro Nzi!? lol!!!! au ndio umeamua kulala mapema leo? hahahahaha
....ebana eee!!!
hahahaha, safari hii #Mburukenge kila wakijitutumua wanapewa za uso...
nimelikosa game leo, ache nisubirie nne usiku #MatchOfTheDay kuangalia highlights,
Boksi la Alfajir ya leo mnh, na winter hili wazungu wataua...!
Nzi.....salaam zake Belo,
safari hii #Mtazoea tu, hivyo hivyo kiubishi ubishi!
We acha tu Mkuu, kuna kipindi kulikuwa kunatandazwa mkeka uwanjani mpaka raha, Dah!!!! halafu goli zote tatu tamuuuu, acha #mburukenge wasuse leo kuingia huku lol!!!!
What's the fuss lads?
a. Beating a 17th placed team? Or
b. Winning against the team that drew with #ManUnited
I guess it has to be b, cause you can't stop comparing yourselves to #ManUnited
Oh! I guess also it is a totally new experience to goons, staying at the top of EPL! That is why you are insanely excited!
Keep calm down goons....
Ukitaka kujua Manager mzuri muangalie Arsene Wenger utaelewa nini maana ya Manager badala ya Football Coach kuanzia kwenye kusajili mpaka kwenye mafanikio uwanjani,
sasa kwa kuangalia huwezi kuamini kuwa arsenal inacheza na Foward mmoja wa uhakika Giroud lakini wamenunua kiungo mchezeshaji ambaye atafanya hata hao mafowadi wazuri wavutiwe na club ya arsenal hayo ndio mambo ambayo manager unatakiwa kuangalia kwenye team yako,na uhakika January tutapata stricker wa uhakika kutokana na maendeleo ya team inavyoendelea
Haya bana...angalia husije ukapotea humu!!
What's the fuss lads?
a. Beating a 17th placed team? Or
b. Winning against the team that drew with #ManUnited
I guess it has to be b, cause you can't stop comparing yourselves to #ManUnited
Oh! I guess also it is a totally new experience to goons, staying at the top of EPL! That is why you are insanely excited!
Keep calm down goons....
Running away from your own statements kwi kwi kwi kwi....Tumeshakuzoea weye na #mburukenge wenzako wala hatukushangai lol!!!!
What's the fuss lads?
a. Beating a 17th placed team? Or
b. Winning against the team that drew with #ManUnited
I guess it has to be b, cause you can't stop comparing yourselves to #ManUnited
Oh! I guess also it is a totally new experience to goons, staying at the top of EPL! That is why you are insanely excited!
Keep calm down goons....
Sikusema kuwa ameletwa Ozil ili kuwavutia wachezaji kwa maana yako wewe hapana Arsenal walimtaka Suarez LFC wakakataa kumuuza tumemnunua Ozil team inaendelea kufanya vizuri kuhusu suala la Manager kwenye team ya soka nadhani kama ni muelewa ni kuwa anahusika moja kwa moja kwenye usajili wa wachezaji kuliko kuwa football coach tukienda kwenye mafanikio ana kombe la Gold la ubingwa wa Premier League ambalo hamna club yoyote Uk imeshaweza kuvunja record yake mpaka sasa ninavyoandika hapa JF au unaswali lingine maana hata usajili wa Ozil ndio bora msimu huu kwenye Premier League leta swali lingine upate majibu yakeOh! Goons can't stop amazing me!!Ebu nitajie mafanikio ya huyo meneja katika uwanja? Ngoja kwanza, goon, mafanikio katika uwanja ni yapi? Pengine kuna maana ya kipekee ya kwenu goons!!
Halafu, ni ajabu kumpa sifa meneja, na kumsahau kocha katika klabu !!
Oh! Kumbe ndivyo alivyo kwa goons?! Nilifikiri ni suala la nguvu ya pesa katika manunuzi ndiyo mwamuzi?! Kumbe hapo goons, viungo wachezaji wazuri wanaletwa ili kuvutia washambuliaji waje?! Kwa staili basi hakika Januari Cristiano anakuja Arsenal ili amfuate kiungo mchezaji mzuri Nemo.
Oh! Goons can't stop amazing me!!Ebu nitajie mafanikio ya huyo meneja katika uwanja? Ngoja kwanza, goon, mafanikio katika uwanja ni yapi? Pengine kuna maana ya kipekee ya kwenu goons!!
Halafu, ni ajabu kumpa sifa meneja, na kumsahau kocha katika klabu !!
Oh! Kumbe ndivyo alivyo kwa goons?! Nilifikiri ni suala la nguvu ya pesa katika manunuzi ndiyo mwamuzi?! Kumbe hapo goons, viungo wachezaji wazuri wanaletwa ili kuvutia washambuliaji waje?! Kwa staili basi hakika Januari Cristiano anakuja Arsenal ili amfuate kiungo mchezaji mzuri Nemo.
Sikusema kuwa ameletwa Ozil ili kuwavutia wachezaji kwa maana yako wewe hapana Arsenal walimtaka Suarez LFC wakakataa kumuuza tumemnunua Ozil team inaendelea kufanya vizuri kuhusu suala la Manager kwenye team ya soka nadhani kama ni muelewa ni kuwa anahusika moja kwa moja kwenye usajili wa wachezaji kuliko kuwa football coach tukienda kwenye mafanikio ana kombe la Gold la ubingwa wa Premier League ambalo hamna club yoyote Uk imeshaweza kuvunja record yake mpaka sasa ninavyoandika hapa JF au unaswali lingine maana hata usajili wa Ozil ndio bora msimu huu kwenye Premier League leta swali lingine upate majibu yake
Tatizo wanakalili wameona Cardiff City amewafunga Mancity katoka sare na Manutd nadhani na Tottenham pia wakaona ni kiboko cha vigogo awaulize walichokipata Southampton ambae alikuwa nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi na akapewa dozi yake sasa wao hawajui kuwa kuna sababu za team kufungwa mojawapo ambayo ni kubwa ni majeruhi kwa wachezaji wake muhimu au kucheza kwa kupaki bus kwa team pinzani ambapo unakuwa unashambulia muda wote lakini wanakuwa wanaokoa nyingine wanazijua Manutd kwa sababu mpaka sasa Top Four ni issue pamoja na kuwapunguzia kasi ya Saints lakini bado but wacheze kila mechi kama walivyojituma dhidi ya Arsenal lakini wakapunguza ndio yakawapata uliyoyaona tatizo msimu huu Premier League ni ngumu kuliko msimu uliopita na Kesho nauhakika Tottenham anashinda dhidi ya Manutd watasema naongea kishabiki lakini ni kwa kuwa uchezaji wa Spurs ni mgumu Manutd kuwazuia na hivi wametoka kwenye kipigo ponya ya Manutd ni sare tuAh arsenal mmeniudhi ... Ona nzi kanunA... Haha ha