Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

"There is very big satisfaction because we had control of the game in a place where many big teams suffer." Hayo ni Maneno ya Prof Wenger sasa nashangaa watu wanaokuja kuwanga humt ndani kwa kuidharau Cardif eti Arsenal wameifunga timu inayoshika nafasi ya 17.
 
Naona majirani Chelsick wamefungwa goli la mapema zaidi.....Sekunde ya 13
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Oh! Goons can't stop amazing me!!Ebu nitajie mafanikio ya huyo meneja katika uwanja? Ngoja kwanza, goon, mafanikio katika uwanja ni yapi? Pengine kuna maana ya kipekee ya kwenu goons!!

Halafu, ni ajabu kumpa sifa meneja, na kumsahau kocha katika klabu !!



Oh! Kumbe ndivyo alivyo kwa goons?! Nilifikiri ni suala la nguvu ya pesa katika manunuzi ndiyo mwamuzi?! Kumbe hapo goons, viungo wachezaji wazuri wanaletwa ili kuvutia washambuliaji waje?! Kwa staili basi hakika Januari Cristiano anakuja Arsenal ili amfuate kiungo mchezaji mzuri Nemo.
Haya naona Manutd leo ameshinda dhidi ya Tottenham Hongera sana Boss @inzi
 
Mkuu bado tu una mashaka na Arsenal?
Mkuu mimi bado nina mashaka na Arsenal, ninataka wachukue ubingwa msimu huu. Mimi ni Mancherster United blood ila ubingwa uwe wa kupokezana kwa timu tofauti tofauti. Hapo ndo ligi inanoga. Kwa hio mimi nataka hizi mbio zao ziendelee hivo hivo zisije zikaishia njiani. Nawatakia kila la heri the gunners supportes wa jf, najua ni mda mrefu sana mmeuguza majeraha mmezoea, sisi ndo tunayauguza sasa.
 
Poleni Arsenal mmeshindwa tactics. Jifunzeni tactics kwenye kombe hili wanazotumia washindani wenzenu mnacheza soka safi lakini magoli ndio nyenzo.

Unawaonaje ARS msimu huu?
 
Mkuu mimi bado nina mashaka na Arsenal, ninataka wachukue ubingwa msimu huu. Mimi ni Mancherster United blood ila ubingwa uwe wa kupokezana kwa timu tofauti tofauti. Hapo ndo ligi inanoga. Kwa hio mimi nataka hizi mbio zao ziendelee hivo hivo zisije zikaishia njiani. Nawatakia kila la heri the gunners supportes wa jf, najua ni mda mrefu sana mmeuguza majeraha mmezoea, sisi ndo tunayauguza sasa.
BigUp sana...ngoja tuone this season huenda tukaokota kwani ni One of the Best start ever for more than 8 seasons...so we hope that, kwani hata wale wagonjwa akona Podolsky wakirudi nadhani itakuwa best team in England football, and we can accomplish the title race
 
News Updates!!
Arsenal have agreed to sign Real Madrid striker Alvaro Morata on a six-month loan deal, according to reports in Spain.


Morata, a highly-regarded central striker who has mainly been an understudy to Karim Benzema this season, will reportedly be allowed to leave the Bernabeu when the transfer window reopens, with the Onda Cero radio station claiming he has chosen to join Arsenal.


SOURCE: METRO
 
NIMECHEKAJE??

MUM: Nipe hiyo bag yangu.
SON: Iko wapi mum??
MUM: Hapo penye Arsenal iko!!
SON: Mum sikuelewi??????
MUM: Aaai! Angalia hapo juu ya table!!
 
jamani kwa anaye angalia game la gunners na hull city aweke matokeo wengine tupo mbali na luninga! cc😡sizinga, Game Theory.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom