Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
Nipo banaaa, imeshakuwa shida mtaani, #mburukenge wameona mwezi basi kelele moja kwa moja 🙂🙂
Ha ha ha...
Vipi Cardiff hawataharibu wikiendi?
Nipo banaaa, imeshakuwa shida mtaani, #mburukenge wameona mwezi basi kelele moja kwa moja 🙂🙂
Ha ha ha...
Vipi Cardiff hawataharibu wikiendi?
Walifanya hivyo kwa Mo No & Co 🙂 siyo kwetu hawana ubavu huo. Tutawachapa 3-0 kuendeleza dose yetu.
Nzi hiyo clip nouma iasee...Jamaa yupo juu
Haya bana...angalia husije ukapotea humu!!
Maskiiiiiiiiini Ramsey kaifunga timu yake--hajashangilia wala nn? Kafurahi to score lakini yaonyesha kaumia kidizain flani hivi
Inaelekea bado anaipenda hiyo timu yake ya zamani