Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Dakika 5 za nyongeza
LoL!!!!! Tumemchapa mtu Mkuu Mbu 3-0 na kuongeza gap na sasa kuwa 7 points at least for 24 hours.
BAK siku hizi weekend huwa inakuwa bomba sana...mpira safi...magoli bomba na shezn kakomaa kinyanda.
Arsenal inaudhi majirani.