Sikusema kuwa ameletwa Ozil ili kuwavutia wachezaji kwa maana yako wewe hapana Arsenal walimtaka Suarez LFC wakakataa kumuuza tumemnunua Ozil team inaendelea kufanya vizuri
Kwa hiyo unataka kusema Liverpool walikataa kumuuza Suarez kwa goons kwa sababu goons haikuwa na viungo wachezaji wazuri?!?
Arifu mbona hueleweki?! Haya ni maneno yako:
"lakini wamenunua kiungo mchezeshaji ambaye atafanya hata hao mafowadi wazuri wavutiwe na club ya arsenal"
Sasa huyo kiungo ni nani kama si Nemo?!?
#KeepCalmGoon
kuhusu suala la Manager kwenye team ya soka nadhani kama ni muelewa ni kuwa anahusika moja kwa moja kwenye usajili wa wachezaji kuliko kuwa football coach
Naona huo ni mfumo wa goons...,
Katika timu zingine, kuna watu/kikosi maalumu kwa ajili ya usajili wa wachezaji. Meneja ni mtu mwenye majukumu ya kuiendesha klabu akishirikiana na backroom staffs katika engo mbalimbali kama scouts, doctors, assitant manager, first team/reserve/youth coaches and assistant coaches, physical trainers etc.
Hivyo basi, uhusika wake lazima siyo wa moja kwa moja, kwani anapokea taarifa kwa chief scout and scouts juu ya huo usajili; na atafanya kazi na watu wa idara ya fedha kabla ya maamuzi ya mwisho ya kununua ama kuuza wachezaji. Hii ni sawa na jinsi anavyofanya kazi ya kupanga wachezaji na mbinu za uchezaji kwa kushirikiana na assistant manager and first team coaching staff. Sasa huwezi kusema eti manager anafanya maamuzi ya moja kwa moja kupanga timu, ilhali hawezi kupanga bila kuwashirikisha hao backroom staffs.
tukienda kwenye mafanikio ana kombe la Gold la ubingwa wa Premier League ambalo hamna club yoyote Uk imeshaweza kuvunja record yake mpaka sasa ninavyoandika hapa JF
Okey dokey. Goons bana!! Naona mnajivunia historia sasa? Kuna mashabiki wa goons humu toka wameanza kushabikia goons hawajawahi kunusa kikombe hata cha carling cum capital one.....sasa wewe unaleta historia ya mwaka 2004? Kabla ya revolutionised world katika kila kitu?!?
Hivi wakaitwa managers kumi bora wa soka duniani, Arsene Chenga ataingia kwenye list kwa sababu ya hicho kikombe cha ngama ulichokisema? If he wants to be amongst the best managers, he should win the UCL and the world club championship!!
Otherwise, he is just unknown french guy who came to England from Japan to imitate what
#AlexFerguson did with
#ManUnited . Too bad he will retire or be sacked without even reaching Alex's knees!
au unaswali lingine maana hata usajili wa Ozil ndio bora msimu huu kwenye Premier League
Oh! Nemo again!
The season isn't over....
How can you say Nemo is the best buy of the season while we are on the 13th week of the season!?!
#KeepCalmGoon s