Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
definately NOT THE GAME VS MAN UTD.....................
TeamMburukenge mmechachamaa kweli.
definately NOT THE GAME VS MAN UTD.....................
TeamMburukenge mmechachamaa kweli.
Yaani wanavyosherekea utadhani walitawala ile game ikawa one way traffic!kumbe ushindi wenyewe wa set piece mpira ukamgonga van persie wakapata kigoli cha ngama,wakakilinda kana kwamba wanapiga fainali ya UEFA CL.Tofauti zilizotutenga sisi na nyie ktk ile game ni minor sana,yaani ni ile kumchinja kobe timing but nashangaa bandugu wiki nzima mna-celebrate tu.Ila endeleeni bana,tunawaachia uzi wetu muendelee kudimba dimba hapa kwasababu furaha kama hii kuipata tena while under Moyes si kazi ndogo.
Mngekuwa na mentality hiyo sidhani kama SAIDO BERAHINO angewatenda uovu pale pale OT!Mliamua kufia uwanjani mtufunge sisi ili dunia nzima irudishe imani kwenu,hata mngemfunga man city isingeleta relief yoyote kwenu zaidi kuifunga arsenal....it was a win or die match for you!winning mentality....every game is A CUP FINAL......for MAN UTD i should say......
Mngekuwa na mentality hiyo sidhani kama SAIDO BERAHINO angewatenda uovu pale pale OT!Mliamua kufia uwanjani mtufunge sisi ili dunia nzima irudishe imani kwenu,hata mngemfunga man city isingeleta relief yoyote kwenu zaidi kuifunga arsenal....it was a win or die match for you!

wewe unatokea pandi zipi?
Leo kila mtu amefufuka kutowa pole hata Mossad amekuja, sawa ligi ngumu leo sina maneno lakini sikiliza maneno yangu
RVP huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal hata Rooney leo alimshangaa lakini mimi ninasema huu ndio msimu wake wa mwisho kuifunga Arsenal msimu unaokuja utakuja kunieleza
iko siku kitajulikana
An Arsenal fan in Uganda is homeless after losing his house in a bet over a game between Arsenal and Man United http://t.co/iVPHoVUNY5"
It was a match for goons to die..
Goli lenyewe la kubahatisha,ulionaje mlivokimbizwa kama baiskeli ya kuibwa?
Özil atawafunga midomo msimu huu.kushinda gem ya Arsenal imekua story kubwa sio!