wazee ndio nimetoka kuwajibika sasa leta maneno
Nzi umekimbia leo au upepo mwingi hukuweza kuruka? naona hata updates hukuweza kutowa leo
Usikimbie mtani ligi bado ngumu ndio kwanza Nov
Naona unataka kuleta picha za mashoga huku kwani kule OT kugumu?
Mie niliangalia mechi yote lakini baada ya kukuona uko hapa nikajua utaifanya kazi hiyo vizuri sana. Leo MANC walikuwa na karamu ya kuziona nyavu 5-0 against Tottenham nasubiri mchapo wenu in 27 mins.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.