Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

View attachment 120871

Huyu ni kocha Mauricio pochettino wa southampton amebadili sana timu baada ya kurithi mikoba ya Nigel Adkins..timu ya Southampton ndio timu pekee iliyoruhusu magoli machache kwenye wavu wake kwenye Ligi kuu ya uingereza..huyu ndiye kocha bora wa mwezi huu kule uingereza..huwezi kuukataa ukweli kuwa anajua kufundisha mpira na hasa wa kukaba kama "NYUKI" hawa southampton walimkalisha "high flying Liverpool palepale Anfield na kwenda kuchafua ubao wa matokeo pale Old trafford..

sio timu rahisi hata kidogo..mi binafsi naiona kama big match hii ..ukifanya mistake kidogo wanachafua ubao wa matokeo hawa...

see you after international break...Arsenal VS southampton At Emirates Stadium

.....swadaktaa....

#Southampton na #Sunderland ya Gus Poyet ndio 'vijitimu' vinavyoweza mtoa mtu mzima #Kamasi mpaka sasa..
 
Arsene-Wenger_PA_2729828b.jpg

Pay back time will be at the Emirates .... .. . ..... .
tupo half time .... ...

BTW kuna bugs pale Colney wachezaji wengi wamekuwa wanasumbuliwa na kuumwa umwa hasa baada ya England team kufanya mazoezi pale kuna haja ya kuwakatalia hawa mburukenge luxury ya top class equipment.

......#Fumigation inahitajika,
Wanakuja na Germs kibao #MburuKenge hawa.
 
TeamMburukenge ushindi umewafanya wanaweweseka sana Mkuu na hii ni kwasababu matokeo hayo hawakuyategemea.

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0

man utd 1-arsenal 1

man utd 2-arsenal 1

man utd 2-arsenal 1

man utd 8-arsenal 2

man utd 0-arsenal 1

man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1

man utd 0-arsenal 0

man utd 3-arsenal 1

man utd 1-arsenal 0

man utd 1-arsenal 2

man utd 2-arsenal 1

man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2

man utd 1-arsenal 2

man utd 0-arsenal 1

man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL

kwa record hii kweli wasitegemee ushindi??
 
kwa kweli hapo umechemsha kwa mechi ya jumapili sikuona Arsenal kama waliingia wameogopa confidence ilikuwa very high that day...we unachanganya kitu hapa nahisi..Manure kuidominate Arsenal kipindi cha kwanza ni sehemu ya Tactics za modern football..ujue manure obvious walikuwa lazima waje na strong start na wapate goli la mapema ili Arsenal wachase game..na kiufundi ukilijua hilo unajiandaa kukaba na kuzuia ili ije "sucker paunch kwenye counter attack" kama vile ulivyoona game yetu Signal iduna park..kipindi cha kwanza walicheza sana BVB ila haikuzaa matunda walipochoka tukapanda tukafunga..GAME OVER...ukiingia kichwa kichwa game kubwa na mpinzani wako yuko na kasi ni kipigo cha asubuhi asubuhi na BIG GAMES early goal linaweza kuwa decisive na very destructive..upande wa anaefungwa mapema..akapanic akaenda mbele akaongezwa....nadhani uliona Liverpool kilichowaponza walivyocheza Emirates alipofunga Santi mpira ukawa wa wazi na wakafungwa kirahisi..

sijui umenielewa..defending deep in order to avoid early goals is part of football tactics in BIG matches

Arsenal wanaweza kuwa kwenye form but wakikutana na Manu confidence inapotea kabisa huu ni ukweli hii sio game ya jana tu,Before the game Arsenal walipewa nafasi na kila mtu but game ilivyoanza Arsenal walikuwa quet nikaona wakijitahidi sana watapata droo
 
Nashangaa Mburukenge wanashangilia nafasi ya tano .. .... ..... ... khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Baada ya kubebwa na mbeleko mwaka huu mtakoma tu pressure mnayo na next mechi mnafungwa chijui mtakimbilia wapi. Gunners top of the pile so far .... .... COYG.

''Arsenal may have lost at Mancheater but it is too early – and unfair – to knock a side which remains at the top of the Premier League and is still in credit.
No team who win at Borussia Dortmund and lead the EPL by two points at the end of Remembrance Sunday can be placed in a coconut shy for losing to Judas Iskariot header at Mancheater. To dismiss the Arsenal revival after such an explainable setback would be intellectual vandalism.''

sio jumapili tu....tangu 2005 tunashangilia sana
MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
leo nimeona kule eti wamejitangazia ubingwa kisa wameifunga Arsenal halafu wanasema eti haters wanawafanyia matokeo yawe mabaya
Arsenal bado wapo kileleni

basi tungekuwa tunatangaza ubingwa sana from 2005

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
Arsene-Wenger_PA_2729828b.jpg

Pay back time will be at the Emirates .... .. . ..... .
tupo half time .... ...

BTW kuna bugs pale Colney wachezaji wengi wamekuwa wanasumbuliwa na kuumwa umwa hasa baada ya England team kufanya mazoezi pale kuna haja ya kuwakatalia hawa mburukenge luxury ya top class equipment.

statistics hizi lazima ziumize kichwa

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
kwa kweli hapo umechemsha kwa mechi ya jumapili sikuona Arsenal kama waliingia wameogopa confidence ilikuwa very high that day...we unachanganya kitu hapa nahisi..Manure kuidominate Arsenal kipindi cha kwanza ni sehemu ya Tactics za modern football..ujue manure obvious walikuwa lazima waje na strong start na wapate goli la mapema ili Arsenal wachase game..na kiufundi ukilijua hilo unajiandaa kukaba na kuzuia ili ije "sucker paunch kwenye counter attack" kama vile ulivyoona game yetu Signal iduna park..kipindi cha kwanza walicheza sana BVB ila haikuzaa matunda walipochoka tukapanda tukafunga..GAME OVER...ukiingia kichwa kichwa game kubwa na mpinzani wako yuko na kasi ni kipigo cha asubuhi asubuhi na BIG GAMES early goal linaweza kuwa decisive na very destructive..upande wa anaefungwa mapema..akapanic akaenda mbele akaongezwa....nadhani uliona Liverpool kilichowaponza walivyocheza Emirates alipofunga Santi mpira ukawa wa wazi na wakafungwa kirahisi..

sijui umenielewa..defending deep in order to avoid early goals is part of football tactics in BIG matches

kwa record hii huwezi kuwa na confidence.....

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
Hawana tofauti na Simba walioshangilia sare ya 3-3 na Yanga....Wakajua ndo washachukua ubingwa wa VPL....

Sasa hawa #Mburukenge kuifunga Arsenal wanajua washamaliza kazi....Wanasahau.kama kuna Everton....Newcastle na Spurs wanawasubiri...

tofauti ni kuwa tunashangilia mara kwa mara kama rekodi inavyoonyesha......

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
Tutakuja wanyoa tu hawa Man...........

kwa rekodi hii labda miaka minne ijayo.....

Chifu, umesahau kile kipigo cha 4-2 pale Highburial Februari ya 2005...

Mgosi O'Shea akitungua la 4 dakika ya 88!! Huku Cristiano akiwakalisha mara mbili ndani ya dakika 3!!

Hawa ni #WakeZetu kitambo....

Naona wanajifanya kuleta ubishi....

Kama vipi tuwape #talaka 1 sasa....
 
tofauti ni kuwa tunashangilia mara kwa mara kama rekodi inavyoonyesha......

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL

#TeamMburukenge
 
numbers dont lie

MAN UTD VS ARSENAL RECORD....
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 2-arsenal 1
man utd 8-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 1-arsenal 0

man utd 3-ars enal1

man utd 2-arsenal 1
man utd 0-arsenal 0
man utd 3-arsenal 1
man utd 1-arsenal 0
man utd 1-arsenal 2
man utd 2-arsenal 1
man utd 4-arsenal 0

man utd 2-arsenal 2
man utd 1-arsenal 2
man utd 0-arsenal 1
man utd 2-arsenal 0

man utd 0-arsenal 0
man utd 0-arsenal 0[arsenal won 5-4 penalties,FA CUP FINAL
 
Chifu, umesahau kile kipigo cha 4-2 pale Highburial Februari ya 2005...

Mgosi O'Shea akitungua la 4 dakika ya 88!! Huku Cristiano akiwakalisha mara mbili ndani ya dakika 3!!

Hawa ni #WakeZetu kitambo....

Naona wanajifanya kuleta ubishi....

Kama vipi tuwape #talaka 1 sasa....

nimeamua kuishia may 2005 kwa sababu mtu ambae anaifananisha Man utd na Arsenal obvious atakuwa kaanza kushabikia mpira 2005/6/7.....
 
Attachments

  • e4219a5499412826b08ba6d6f285fc20.jpg
    e4219a5499412826b08ba6d6f285fc20.jpg
    47.9 KB · Views: 44
  • 86f07287051ac2a942475a02f235a8e0.jpg
    86f07287051ac2a942475a02f235a8e0.jpg
    59.6 KB · Views: 40
  • 0f668d4f7e89953192801dad1a789b63.jpg
    0f668d4f7e89953192801dad1a789b63.jpg
    60.8 KB · Views: 42
  • 1ea5b99a3c139a014f84277c6bd2d271.jpg
    1ea5b99a3c139a014f84277c6bd2d271.jpg
    55.4 KB · Views: 40
  • 296f7a974d866504d1bf3d4fcfc2f914.jpg
    296f7a974d866504d1bf3d4fcfc2f914.jpg
    44.1 KB · Views: 40
  • 9bf9338ead25191e0f0fbaf43372355e.jpg
    9bf9338ead25191e0f0fbaf43372355e.jpg
    43.7 KB · Views: 38
  • 8d0b2664fcd6fe09c8aa46a483a6bd55.jpg
    8d0b2664fcd6fe09c8aa46a483a6bd55.jpg
    78.1 KB · Views: 38
  • caf077e6bcfe86423d85ca075f52b87c.jpg
    caf077e6bcfe86423d85ca075f52b87c.jpg
    52 KB · Views: 39
  • d0cec1e4fee9d3135757efd85d487922.jpg
    d0cec1e4fee9d3135757efd85d487922.jpg
    62.7 KB · Views: 37
  • b4cd86f24ffc975e716d842388fcc04b.jpg
    b4cd86f24ffc975e716d842388fcc04b.jpg
    34.6 KB · Views: 40
Back
Top Bottom