Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

mimi sikuota kama wewe mimi nimeomba kwa Mungu, nakuona wewe uko kwenye ndoto bado
Ukisema Mungu aibariki asernal tayari hizo ni ndoto kwako kwa sababu haitatokea arsenal kuchukua ubingwa was uingereza for the next ten yrs. Wataongoza had I new yr basi, hata wao wanajua mabingwa wa msimu huu ni mManchester united au Chelsea. Sasa wewe ukiwaombea unakuwa unawatia machungu bure.
 
kama wewe ndie Mungu sawa nimekusikia
Ukisema Mungu aibariki asernal tayari hizo ni ndoto kwako kwa sababu haitatokea arsenal kuchukua ubingwa was uingereza for the next ten yrs. Wataongoza had I new yr basi, hata wao wanajua mabingwa wa msimu huu ni mManchester united au Chelsea. Sasa wewe ukiwaombea unakuwa unawatia machungu bure.
 
Ukisema Mungu aibariki asernal tayari hizo ni ndoto kwako kwa sababu haitatokea arsenal kuchukua ubingwa was uingereza for the next ten yrs. Wataongoza had I new yr basi, hata wao wanajua mabingwa wa msimu huu ni Manchester united au Chelsea. Sasa wewe ukiwaombea unakuwa unawatia machungu bure.

Hapo kwenye RED, unaposema AU ungeendelea pia AU ARSENAL AU LIVERPOOL AU SOUTHAMPTON AU....AU.... AU kwa sababu huna hakika na ligi ni ngumu. Vizuri nikukumbushe consistency ya Arsenal walipoanza vibaya sana msimu uliopita na walimaliza wa ngapi? Na hiyo January unayosubiri kuelekea May ndipo walipofanya mambo makubwa yaliyowapandisha. Msimu huu ndiyo kabisa wako vizuri mno. Bisha kwa vigezo siyo tu kwa kutowapenda.
 
Afrikando
Huyo Jakubumba asikukondeshe bure yeye mwenyewe hana uhakika na timu anayoitegemea yupo huku kuangalia upepo haitoshangaza ukimuona kesho anakuja na ID nyengine hapa
Hapo kwenye RED, unaposema AU ungeendelea pia AU ARSENAL AU LIVERPOOL AU SOUTHAMPTON AU....AU.... AU kwa sababu huna hakika na ligi ni ngumu. Vizuri nikukumbushe consistency ya Arsenal walipoanza vibaya sana msimu uliopita na walimaliza wa ngapi? Na hiyo January unayosubiri kuelekea May ndipo walipofanya mambo makubwa yaliyowapandisha. Msimu huu ndiyo kabisa wako vizuri mno. Bisha kwa vigezo siyo tu kwa kutowapenda.
 
Jamani Wadau wenzangu wa Arsenal gemu saa ngap?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nasikia game imesogezwa dakika 15 mbele kutokana na security threats pale London..hivyo itaanza saa 12.15 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante kwa hii taarifa hii Mkuu mie ndio nimemaliza kuangalia game ya L'pool na Everton nilitaka sana Everton washinde ila wametoka 3-3 ili tuongeze gap kati yao na sisi baada ya kuongeza points nyingine tatu kibindoni leo baadaye, nausubiri mchapo kwa hamu. Mzima lakini Mkuu?

Namshukuru Mola, mimi na familia yangu tu wazima wa afya chifu.

Kuna shida pale London's underground....hivyo jamaa wameogopa....

Nilitaka Loserfool wafungwe pia....

Ila droo bado ni poa kwa #ManUnited , tukishinda kesho, tunakua point 1 nyuma yao....

Hapa naombea droo tu baina yenu na watakatifu....droo itakuwa poa kwetu
 
mmmmhhhhh mineno hii balaa tupu..
 
nimekuja kuchungulia kwani nimezongwa na maisha
naona tunaongoza kwenye matokeo
sitokaa sana kwani kibarua kinaweza ota nyasi
 
nzi
nilifikiri ulichukuwa hii kazi ya ku update

Nemo katoka...amekuwa floppy sana katika games za hivi karibuni....

Alikuja na moto sana....lakini toka game dhidi ya BvB, amekuwa doro....

Ana assists 4 tu na goli 2....

Kwa mchezaji wa kariba yake, hiyo si alama nzuri....

Naona mmepata penati hapa....na kufunga....
 
Back
Top Bottom