Duh! mfarisayo unaua kabisa...naona wenyewe wamekimbia kwao...
Wapi BAK Balantanda kashengo MwafrikaHalisi Shadow Nyaluhusa87 Piere. Fm Mutambuki Likwanda MpigaKelele Ng'wamapalala Ulimakafu godsonswai
Wote kimya....
Mm* wenu akiwa hapa, muwe na adabu.
wala hainishangazi kabisa kuna siri pale UK ambayo siku sio nyingi itajulikana
Dopping bado ipo UK na maujanja mengine kama hayo ndiyo yanayoifanya UK kushindwa kwenye michezo ya Taifa kwani FIFA wanapima zaidi
Manu nina wasiwasi kuwa wanatumia kama kuna mtu yuko UK basi jaribu kufuatilia utajuwa
Najuwa watu wengi watapinga lakini huo ndio ukweli
usiniulize nimepata wapi habari hii kama unataka kujuwa fuatilia huko FA
![]()
Question time: Prof Arsene Wenger takes part in Twitter Q&A
wala hainishangazi kabisa kuna siri pale UK ambayo siku sio nyingi itajulikana
Dopping bado ipo UK na maujanja mengine kama hayo ndiyo yanayoifanya UK kushindwa kwenye michezo ya Taifa kwani FIFA wanapima zaidi
Manu nina wasiwasi kuwa wanatumia kama kuna mtu yuko UK basi jaribu kufuatilia utajuwa
Najuwa watu wengi watapinga lakini huo ndio ukweli
usiniulize nimepata wapi habari hii kama unataka kujuwa fuatilia huko FA
Muulize kwa nini hakumpanga Ozil?
#TeamMburukengeNemo ni flop kwenye mechi dhidi ya #BigBoys like #ManUnited ....
Yeye anatamba akikutana na Crystal Palace and the like....
Kuna fukufuku linaendelea pale kwa goons juu yake....goons wanaanza kulalamika wameingizwa cha kike na Real Madrid....wanataka transfer swop January ili wamchukue Karim na wamrudishe Nemo Real....
![]()
Desire: Prof Arsene Wenger wants to win every game