Hahahahahaha! Raha tupu, mchumba tumechukua!
Hakuna excuse, same old Arsenal, kipa hawezi kucheza krosi, hatuwezi kucheza free-kicks na kona. Kwa kweli inauma sana. Anyway ubingwa tusahau kama kawaida nafasi zetu ni ya 3 ama 4.
Nitaoneaje wivu timu inayofungwa?!Miwivu tu hiyo
Mmmh! Kwa magoli hayo mliyofungwa ulitaka Almunia afanye nini hasa?! Kati ya magoli yote 3 ni lipi unafikiri ni uzembe wa kipa?Huyu Alumnia bure kabisa yaani hatuna keeper ilikuwa ni kama vile jezi imetundikwa golini kila linalokuja ni goli.Imedhihirisha timu bado changa sana.....ohhhh its a time for Wenger TO GO.........hana jipya.
Yote 3 ni uzembe wake kipa hawasiliani na mabeki ...kwa mfano la kwanza alishindwa hata at least kuufata mpira juu kwa juu akabaki kuusindikiza kwa macho.Mmmh! Kwa magoli hayo mliyofungwa ulitaka Almunia afanye nini hasa?! Kati ya magoli yote 3 ni lipi unafikiri ni uzembe wa kipa?
Yote 3 ni uzembe wake kipa hawasiliani na mabeki ...kwa mfano la kwanza alishindwa hata at least kuufata mpira juu kwa juu akabaki kuusindikiza kwa macho.
La pili..ilitakiwa amwambie Varme miss ili atoe yeye anarukaruka tuuu.
La tatu lililokopigwa ndo alikobana huko huko....sasa huyu ni kipa au gogo???Bora hata Manonne angekuwa golini...its also time for him(alumnya) to go.
Tatizo lingine Gunners imejaza wakuja hakuna hata mmoja mtoto wa hapo north London mwenye usongo na timu kama ilivyokuwa kipindi cha akina Ian wright,tonny Adams,Keown etc.wote waliopo ni mamluki nomaa sana...Jukumu si la kipa pekee kuongea na walinzi, bali hata walinzi wana jukumu la kuwasiliana na kipa.
Soka si ndondi au kuogelea kusema ikishapigwa kengele basi hamuongei
Tatizo lingine Gunners imejaza wakuja hakuna hata mmoja mtoto wa hapo north London mwenye usongo na timu kama ilivyokuwa kipindi cha akina Ian wright,tonny Adams,Keown etc.wote waliopo ni mamluki nomaa sana...
Yeah sure nilikuwa na maana wazawa wa England wanaoijua Arsenal sio hawa mamluki wanacheza huku wanawaza kuhamia Barcelona next season.Hapa umetudanaya mkuu labda kama unaongelea wazawa wa England, lakini Ian Wright anatoke Woolwich (South east London) na Keown anatokea Oxford! Arsenal wanao English players kwa sasa kina Walcott na Wilshire. Poleni lakini.
Yote 3 ni uzembe wake kipa hawasiliani na mabeki ...kwa mfano la kwanza alishindwa hata at least kuufata mpira juu kwa juu akabaki kuusindikiza kwa macho.
La pili..ilitakiwa amwambie Varme miss ili atoe yeye anarukaruka tuuu.
La tatu lililokopigwa ndo alikobana huko huko....sasa huyu ni kipa au gogo???Bora hata Manonne angekuwa golini...its also time for him(alumnya) to go.
Huyo beki wao kwa sasa ndio top scorer waoChuma cha pili OG!
MBU uko wapi,jiitokezeHivi Mbu yupo jamani?
Jamani wanaArsenal nawapeni pole sana hii ndiyo halisi, watoto hawawezi cheza na baba zao!