ngoja tuamie kwenye mechi ya barcelona na madrid sasa kukamilisha siku manake wamempa nafasi masanilo kuchafua hali ya hewa humu wiki nzima.
Hii michezaji ya Arsenal ovyo kabisa, imeregea kama mboga ya mtoriro!
mie nilikuwa namtegemea sana varmelen kumzibiti drogba na kajitahidi kusema ukweli lakini huyu jamaa anatufunga sana kusema kweli.Didier Drogba anatuonea sana
poleni sana zeGanaz.....Tatizo watoto wanacheza kama wako training ground!!!
Umesema kweli mkuu!Of course hakuna visingizio, whoever is fielded in will represent Arsenal FC or the other guyz! so far hatujazoea kutoa visingizio kihivyo. Leo kutoka mtu hapo Emirates ni ngumu sana!!
Nambieni Leo wale wahuni chelsea watatoka emitarates
Acha uongo, hamjacheza vizuri....mpira wote umechezwa on the mildfield not many clear chances, na actually Chelsea wamecreate more chances than you guys!tunahitaji kushinda mechi tunapocheza vizuri. makosa yanatuadhibu, hata hivyo ni mpira, tuna dk 45 zingine.
Acha uongo, hamjacheza vizuri....mpira wote umechezwa on the mildfield not many clear chances, na actually Chelsea wamecreate more chances than you guys!
go ahead bandwagon n next year u can buy another team jersey lol.
Gap la Van Persie limeonekana ila wanahitaji Striker wanguvu. Eduardo kavuruga saana. Huwezi kuposses hivyo halafu unashindwa kuscore
mda umefika kumfungulia almunia mlango akatafute maisha timu nyingine.jamaa yuko golini kama ushahidi tu wakati anahitajika wala haonekani.forward pale mbele its about time wenger to swallow his pride n just get a real striker ambaye akikamata mpira mabeki wanachanganyikiwa.