Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tunafahamu speed za Arsenal EMT,subiri wapoteze mechi moja tu utajua kinachofuata.
hiyo ya kesho kutwa na liverpool tusubiri

Mtabiri a.k.a Sheikh Yahaya upo kumbe?? Hivi Rangi yako ya uhalisia ni ipi vile?
 
Last edited by a moderator:
.......haya maidia sistah King'asti Oooo! Wateva the resultz Oooo, please remain seated just like us Naijazzz Ooooo!
 
Last edited by a moderator:

Ng'wanangwa wapi nimesema kufungwa kwa Arsenal kwenye kapito wani kapu ni ishu?

Itakuwaje ishu wakati ni kawaida ya Arsenal kufungwa kwenye kapu hii?

Mara 10 mlinusa robo fainali, wala hamjawahi ambulia kikombe hiki mnachokiita cha mbuzi, wakati ndicho kingekuwa mwokozi wa Arsene Chenga.

Sasa kikombe kimepotea, ajira yake hatihati....kumbuka aliahidi kama hasiposhinda kombe lolote msimu huu, atajiuzulu. Sasa kikombe ambacho ni rahisi kukipata, kakikosa.

Vimebaki UCL, BPL na FA Cup. Hapa ni songombindo...UCL asahau...na nimeshasema, Arsenal ikishinda UCL naacha kuwa mnazi wa Man United. BPL ni mbio za marathon....FA ni kombe ambalo kila timu inalitaka kutokana na historia yake...sasa bwana Arsene Chenga sijui ataangukia wapi.

Hivi hakuna tena Emirates Cup hivi karibuni angalau achukue hilo na kuokoa kibarua???
 
nyinyi munaotoka huko kuja huku na kujaza thread hii mumekuwa wengi kuliko wenyewe Arsenal,
kwani hamuna majukwa yenu mukachangiya hata muje huku kwenye eti timu ndogo?
Timu zote za UK zikiifunga Arsenal wanashangiria sana sasa kama timu ndogo kwanini iwe zogo?
Jose mwenyewe alikataa kumtowa Ba kuja kwa mkopo Arsenal kwa kusema kumpeleka kule ndio Arsenal wamechukuwa ubingwa, kila mtu anaiogopa Arsenal, hata kununuwa mchezaji akijulikana anakwenda Arsenal mizengwe mingi atawekewa asiende
Ligi imeanza tusubiri January
 
sisemi yeye kuharibu ndio tutese mimi ninasema kwa timu kama Chelsea kumuweka coach huyu kama wameenda hatuwa mbili nyuma tusiseme mengi miaka miwili sio mingi

Kama watakuwa wameenda hatua mbili nyuma kinakuuma nini? Inaonekana Mourinho hakukosea alipowaita voyeurs.

Wanasema kuwa whoever comes to equity, you must come with clean hands.

Now, Wenger kakaa hapo Arsenal miaka na miaka mingi lakini unaweza kutuambia the last time Arsenal won a trophy? Be honest Hapo.

Ukweli ambao unauma sana kwa baadhi ya watu ni kwamba kitendo cha Mourinho kurudi Chelsea kunaipunguzia Arsenal chances za kuwin trophies.

That is a naked fact maana kwenye msimu huu tuu tayari Mourinho ameshawapunguzia Arsenal chance ya kushinda kombe moja.

Mie naamini zaidi kwenye competitive football. Hivyo, kitendo cha Mourinho kurudi Premiership kunaifanya ligi iwe more competitive. Kunaifanya ligi iwe more interesting.

Kitendo cha Liverpool kuonekana kucheza vizuri under the current manager ndiyo kinaifanya mechi ya kesho iwe box office.

In the past few years, this fixture has became just another fixture. Probably ndiyo maana mechi ilipangwa kuchezwa at a c.r.a.p time.

Hata waliopanga hii mechi ichezwe at this c.r.a.p time, wangependa sasa ichezwe Jumapili (Super Sunday) because mechi inaonekana itakuwa more competitive than previously thought.
 
wazee wa mbio za sakafuni,kama njiwa anayepaa na kupita kwa mwendo kasi akashindwa kukata kona akajigonga kwenye ukuta wa nyumba na kufia pale pale
 
wazee wa mbio za sakafuni,kama njiwa anayepaa na kupita kwa mwendo kasi akashindwa kukata kona akajigonga kwenye ukuta wa nyumba na kufia pale pale

Naona Sheikh Yahaya bado unaranda randa tu ka mjusi kwenye kuta za watu.
Hahahagahahahahaha kaazi kweli kweli!
 
.

Prof anatisha hafanyi mambo kwa papara
..... ...... ....Kwenye dirisha do
go .. ... ... .... ... safi sana .... ..
 
EMT
Baada ya miaka miwili tuwasiliane
Hicho kipindi chote ambacho Arsenal haikuchukuwa ubingwa nani alikuwa Coach wa Chelsea?Wacha tuanze tena hesabu safari hii mutabadilisha makocha wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…