Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

EMT
Baada ya miaka miwili tuwasiliane
Hicho kipindi chote ambacho Arsenal haikuchukuwa ubingwa nani alikuwa Coach wa Chelsea?Wacha tuanze tena hesabu safari hii mutabadilisha makocha wangapi?

Tatizo Mashabiki wanachotaka ni kufungwa kwa Arsenal hata kama hilo kombe halina umuhimu kwao,Wenger ameshaangalia kikosi chake ni kidogo kulinganisha na michuano tunayotakiwa kucheza kwa hiyo lazima uangalie kwanza UEFA,Premier League na FA Cup hiyo ndio michuano ambayo kwa klabu ni muhimu sasa mshindi wa Capital One anashiriki Uefa Cup michuano ambayo kwa Arsenal sio ya muhimu na ndio maana Sagna,Gibbs,Mertesacker hawakucheza ingawa ni wazima wa afya waliangalia leo na Liverpool pamoja na Dortmund kwenye Uefa
 
Leo Asenal 0-5 Liverpool,wafungaji kama kawaida,SAS!Suarez 3,Dani Star 2,watu tunakaa kileleni tunasubiri wa mbele.
YWNWA.
 
Leo Asenal 0-5 Liverpool,wafungaji kama kawaida,SAS!Suarez 3,Dani Star 2,watu tunakaa kileleni tunasubiri wa mbele.
YWNWA.
Huijui Arsenal wewe,muulize mstaafu calagher...alishawahi kusema Arsenal wakiwa uwanjani ni kama wapo kumi na tatu(13).
 
Mentor kwema kule kwenu??
Vp Yale Makali ya Capital One yameisha kule St.James??
Ahaaaaa ahaaaaaa
 
Majirani wamejeruhiwa,,,,,,,,,baadae watakuja kuhamishia hasira zao hapa.
 
Leo una nguvu kweli rafikhi,hongereni.

Lini sijawahi kuwa na nguvu?

Nifungwe, nitoke droo ama nishinde, nguvu ziko pale pale....

Kwani toka dakika ya kwanza, nafahamu matokeo ya mpira yanavyoweza kuwa: ushindi, droo ama kufungwa.
 
Lini sijawahi kuwa na nguvu?

Nifungwe, nitoke droo ama nishinde, nguvu ziko pale pale....

Kwani toka dakika ya kwanza, nafahamu matokeo ya mpira yanavyoweza kuwa: ushindi, droo ama kufungwa.
Kuna watu, hasa wale wa darajani (Chelsick) wanahitaji kuwa na moyo wa aina yako Chifu...

Shabiki wa kweli ni yule anayekuwa jukwaani mwanzo mwisho, sio akifungwa anapotea na akishinda ama kutoka sare ndo anaibuka..

Hongereni sana wewe na Mfarisayo...Mashabiki wa ukweli wa Kandanda...

Hongera kwa ushindi Chifu...
 
Team sheets

BYFJD9iCMAAZX5U.png:large
 
......COYG!!!

Will be back after the game,
Msijeanza majungu ohhh. Mbu kakimbia....

#boksi limepamba moto mbaaayyya hapa....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Yeah!!!! Me too I don't want to miss a single second in this match. Ndio najisogeza kwenye Luninga. Good luck to Gunners.

......COYG!!!

Will be back after the game,
Msijeanza majungu ohhh. Mbu kakimbia....

#boksi limepamba moto mbaaayyya hapa....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom