Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaaaa eti chipukizi wa gunners!
Then,
Refa kasaidia, heheheheehheeheeeeeee
Halafu,
Eti mmepunguza tight fixtures, kwani mnaingia kushiriki au kushindana.
Sina la kusema but hongereni majirani.
 

kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mumepakatwa
 
Update

22.10.13 - Champions League: Arsenal 1 v B. Dortmund 2
26.10.13 - EPL: C.Palace 0 v Arsenal 2
29.10.13 - Capital One cup: Arsenal 0 v Chelsea 2

NEXT
02.11.13 - EPL: Arsenal v Liverpool
06.11.13 - Champions League: B. Dortmund v Arsenal
10.11.13 - EPL: Man. Utd v Arsenal
 

Ongezea na Watakatifu Southmpton
 

NA BARAKA ALIWASHUSIA

MZEE WA SIGARETI NAYE ALIKUWEPO


MZEE WA THIGARETI AKIWA NA WACHEZA CENEMA RAMBO & BETINA

KIKONGWE NAYE KANUNAAA ANAZIDI KUJIPUNGUZIA SIKU ZA KUISHI

END OF THE ROAD
 
Nimerudi kutoka kuganga njaa gemu sikuliona lakini nimepata taarifa
sisemi maneno mengi ligi ndio imeanza

Ligi ipi unayoongelea...!?? Ya capital one ndo tumewafanyia send off jana...ya EPL..tumemtuma Liver fool awapunguze munkari!

kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mumepakatwa

Halafu EMT mbayaaaaaa anapaka pilipili kwenye kidonda hadi Wacha1 analalamika!!!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: EMT
Rafiki pole, jana tumewawowa. Chelsea ni chama kubwa ila game ilikuwa nzuri. Kuna arsenal fan mmoja alibet juu ya kufungwa kwenu hahaha

......pheeewww, kumbe King'asti nawe ni mpenzi wa mpira na tena 'sadly' shabiki wa #Chelsea ... Haya bana....
Bora nawe umeonyesha #TrueColors ....

Msikimbie tu hapa....
 
Last edited by a moderator:
tunafahamu speed za Arsenal EMT,subiri wapoteze mechi moja tu utajua kinachofuata.
hiyo ya kesho kutwa na liverpool tusubiri
 
Last edited by a moderator:




Mmmh! Hooovyooo!! Kama unajua hivyo kwanini sasa unashangaa watu kuchangia kwenye haka kajukwaa kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…