Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.....sasa ni wakati wa kuangalia kabumbu saaaafi, na kikombe cha milo pembeni.

.....mambo 'kimya kimya!'
 
great save from Szczesny manake ilikuwa deflection ambayo ingezaa goli kwa WBA,dk ya 15
 
WBA has a good squad by the way!!, Dk ya 21.55 Flamini analimwa yellow card...!! Ramsey anatibiwa pale chini ni msuli umebana nadhani!!
 
Huyu Jenkinson naonaona hayuko vizuri sana kama Sagna, manake cross zake nyingi zinazidi vipimo zinatoka nje
 
Wakuu wa Gunners vipi kitale .... .... ...
Naona
Gunners wameanza taratibu leo.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Wilshere dakika ya 30 kaumia jicho...anaweza akapewa subs...bado game ni nzito 0 0
 
Smoking is dangerous for man's health....Jackline Wheelchair is a good case...anarukaruka na kuangukaanguka tu uwanjani...
 
.....hahaha, Nzi kafuraaaaahi....
Heheheh
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Yellow card to wilshere....huyu jamaa leo hayuko vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom