Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalllllllllllllll from Wilshere
 
..... Nzi umemuona Wilshere lakini.,,,,hehehe,
Mtazoea tu!
 
Last edited by a moderator:
​Bado goli moja zaidi tuondoke na points zetu tatu.
 
Kweli...puffing ni noma..naona alienda kwenye kona kulipuliza kidogo...

attachment.php

and the image smoke too..
 
Naona Spurs nao leo mambo yao sio mazuri wako nyuma kwa mabao mawili mpaka sasa
 
Back
Top Bottom