Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
​![]()
hahahahahahahaha angalia usijetukanwa na haters.
​![]()
Game la leo litanifanya nibadilishe signanature yangu....keep watching!!
​![]()
Sure...he can't join a smokers' club...
Haters Wanatuombea Mabaya.
Lakini Kwa Uwezo wa Özil we ll prove them wrong.
Naamini katika hao haters, hujawaweka washabiki wa Manchester United! Hilo litakuwa kundi (haters) la washabiki wa Chelsea, Spurs, Man City, Everton n.k.
Soka siyo kama hesabu ya 1+1=2!! Ingekuwa hivyo 'Nemo' angeshinda makombe yote pale Real kila mwaka!! Kumbuka hata Real 'Nemo' was one of the best players, second to the máquina a.k.a CR7! Labda kama unataka kusema Goons mna kikosi kikali kuliko Real!!
Washabiki Wa MANYOO utawajua Tu. mwaka Huu kama Hamjashuka Daraja Sijui.
Haters Wanatuombea Mabaya. Lakini Kwa Uwezo wa Özil we ll prove them wrong.