BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Nimeona kule Manyema united kupo kimya!
Jamani naombeni kujuzwa yaliyojiri Etihad stadium
wapi nzi maana anashinda kwel humu.
tumepuliza dawa mkuu ... maeneo haya hatingi tena ....
Naona dawa yenu haina nguvu...kwani Nzi bado yupo gado.
He he ACHA nimtume supermarket ozil aje na dawa Kali zaidi ...
Namsubiria sana hapo Novemba 10.
Naona dawa yenu haina nguvu...kwani Nzi bado yupo gado.
Namsubiria sana hapo Novemba 10.
...hahaha..... Umenikumbusha "miaka ya 47" kulikuwa na dawa unamwagia on surfaces... Ya unga unga hivi, nzi wakitua tu wana rest in peace...
Halahala jamani, msipulize dawa mingi mkaua na mbu!
Haha mkuu Nzi huchoki tu?li-timu lenu mwaka huu libovu aisee, RVP ndo mtima wenu basiiiiii,akikabwa vizuri hamchomoki,manake hata arsenal waamshwe usingizini kwa mziki ule mtachezea kichapo sana!! Mark my word!!
Ingawa ubora wa timu kwa EPL ni kucheza na big 4 lakini I dare to say Arsenal wako vizuri msimu huu..labda wawe na mgogoro hapo badae!! Manake nimeona sehemu Carlo Anchellot anajuta sasahv kumuuza OZIL anadai eti aliomba mwenyewe aihame timu kwa kuhofilia kukaa benchi...does this sound good??
Ingawa ubora wa timu kwa EPL ni kucheza na big 4 lakini I dare to say Arsenal wako vizuri msimu huu..