Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Hapana,lazima kupata forward mpya pia!Hii ndio Arsenal tuliokuwa tunaitaka January ni kununua beki basi!Arsenal raha sana!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hapana,lazima kupata forward mpya pia!Hii ndio Arsenal tuliokuwa tunaitaka January ni kununua beki basi!Arsenal raha sana!!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Arsenal inaniponza,naanza kuwa overweight!
Van puuuu nje leo, ni pigo kubwa kwa MANU lakini Rooney yuko fit sana.
. Naona siku hizi huna mapigo ya moyo yanayopiga Kama ngoma teh teh na hivi taifa stars haichezi umetulia tizama Yanga isikupeleke hospital madaktari bongo ukienda kumuona Hasemi Kama huumwi atakuongopea tu una malaria 4 update tu kuwapata pesa teh teh.Full Time
Arsenal 3-1 Stoke
What a miss by Ramsey....Kona
Yanga mbona burudani tu mkuu....Hatujapoteza mechi hata moja na leo Azam washukuru Refa kawapa penati....... Naona siku hizi huna mapigo ya moyo yanayopiga Kama ngoma teh teh na hivi taifa stars haichezi umetulia tizama Yanga isikupeleke hospital madaktari bongo ukienda kumuona Hasemi Kama huumwi atakuongopea tu una malaria 4 update tu kuwapata pesa teh teh.
Huyu ndiyo mfano halisi wa mashabiki wa Arsenal.
Wakuu wa Gunners Prof. anaendelea kuwanyamazisha makuwadi kutoka urusi .... .. safi sana ,