Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Ukifungwa ndo akili za kuandika point kama hizi zinakurudia kwa brain,chezea man city,utalala na viatu!Bongo pundits bwana! Gemu 5 tu washaanza kusema timu libovu!! Hadi sasa ni points 15 tu ndiyo zimetafutwa; bado zipo 99 ambazo hata bingwa uwa ni nadra kuzifikia!!
Game styles ubadilika kutokana na timu zinavyocheza. Sasa kama wewe ni mfuasi wa soka huwezi kutumia matokeo ya jana kama benchmark ya matokeo ya United vs. Arsenal. United vs. Arsenal na United vs. City ni games 2 zilizo tofauti sana. Unakumbuka ule mwaka United ilivyowapiga Arsenal 8-2, kisha ikapigwa 6-1 na City? Sasa hapo utasemaje?!?
Tuombe uzima; tusiandikie mate. Novemba 10 jibu litapatikana.
Ligi ni sawa na mashindano ya marathon na si ya sprinting kama akina Usain Bolt. Hivyo hizo games 5 si kiashiria kizuri cha kujua kama timu itashinda marathon.