Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Refa anawalea sana Nzonzi na Huth....

Tunaruhusu sana mashanbulizi....

Kona....Inaokolewa
 
Dakika ya 70

Arsenal 2-1 Stoke

Wenger amuingize Arteta sasa....Kiungo komekufa
 
Sagnaaaaaa 3-1 Arsenal dakika ya 71, itakuwa poa sana mechi ifuatayo kati ya MANU na MANC wakitoa draw ya 0-0.
 
Huyu Ramsey yuko inform sawa, ila ana slow down mchezo sana na anapoteza pasi mno...

Tunapumua sasa vizuri...
 
mmeshinda hii game jamani ila ndo first time naona arsenal wanacheza defensively.
 
Namuona Fundi arteta .. Yaani tunatoa jiwe tunaingiza jiwe
 
Arsenal sub....

Arteta in.....Ozil nje....

Uwanja unalipuka kwa shangwe.....
 
Back
Top Bottom