Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Japokuwa si mshabiki wa arsenal lakini kwa heshima ya soka la uingereza ntaendelea kupiga kelele jamani timueni babu huyu anaidumaza arsenal!
 

According to BBC,Arsenal Supporters' Trust DO NOT WANT ARSENE WENGER'S CONTRACT TO BE EXTENDED. AST is official club supporters and has 1100 members including small shareholders...Club didnt comment on the matter.
 
cc tunakereka sn tulio mbali natamani wale walio uiengereza wangesusa hata km wameshakata tiketi mechi 2 tu wangetishika
 
Howard webb appointed for fulham vs arsenal game. Meanwhile, Anthony Taylor dropped this week, the mug cost us 3 points and koscielny .,
 

Mkuu, mimi nakuelewa sana maelezo yako na uko sahihi 100%

Wenger kwa sasa hana watu wazuri kwenye kufanya makubaliano na mchezaji wanaetaka kusajili, na hii ipo wazi tokea David Dein aondoke baada ya kuondolewa na bodi.

Wanakosa "Personality" ya kufanya mazungumzo na mpaka sasa Gazidis na timu yake wamefeli.

Jambo lingine ni kwamba Wenger na watu wake wanapofanya valuation ya mchezaji husika wanakuwa hawako sawa kwani soko sasa hivi linalotawaliwa na mawakala kibao wenye nguvu linaweka dau kubwa.

Ukiangalia thamani ya Higuain sio £23 milioni bali ilikuwa ni £34milioni na Napoli wakaja na hio wakamsajili, Jovetic nae wakaweka £20 lakini Man City wakaja na zaidi ya £27 milioni wakamsajili.

Mchana huu wamejaribu kuweka £12 milioni kwa Yohan Cabaye huku wajifahamu kwamba kiasi hicho ni kidogo na Newcastle wamekataa hii inakuwa kama mchezo fulani vile?

Pia wanataka kuwapa £35 milioni kwa wachezaji Michu na Ashley Williams na hio ni £25 kwa michu na 10 kwa Williams lakini huenda Swansea wakakataa valuation hiyo kwa kutaka pesa zaidi yaani £15milioni kwa Williams na £27milioni kwa Michu.

Ni soko kwa sasa ambalo limebadilika na kama Wenger na timu yake hawako makini na kufanya valuation za wachezaji basi wataambulia patupu ikifika tarehe 2 September.

Wapenzi tayari tumempa tumeandika barua kwa bodi na wameisoma na mambo mengine yameongelewa hata na Lady Nina Bracewell-Smith kwenye Tweeter (wamefuta entry hiyo), nae ameeleza kwamba anajuta kumuuzia hisa Stan Kroenke ambae anaona (Lady Smith )kwamba ni afadhali David Dein arudi kwenye bodi ya wakurugenzi ambayo kwa kweli inehitaji kuchanganya watu wa aina mbalimbali.

Mechi ya Jumamosi haikuwa ni mechi ya kuipoteza ukizingatia kwamba tulikuwa tunaongoza kwa goli moja.
 
IMO...This is too little too late

Arsenal step up chase for Yohan Cabaye as panic sets in at the Emirates

• Gunners to increase offer for France midfielder
• Oxlade-Chamberlain may be out until the new year



Yohan Cabaye was left out of Newcastle's team at Manchester City on Monday and may well be heading to Arsenal. Photograph: Owen Humphreys/PA


Arsenal will return to Newcastle United with an improved offer for the France midfielder Yohan Cabaye as desperation sets into their attempts to strengthen the squad and with the club fearful they have lost Alex Oxlade-Chamberlain to a knee injury until the turn of the year.
An opening bid for Cabaye of around £10m was rejected by Newcastle, who described the offer as "derisory", though there is an acceptance that the 27-year-old may well leave St James' Park before the close of the transfer window on 2 September having grown unsettled at the club. He was omitted from the team for defeat at Manchester City and the Newcastle owner, Mike Ashley, while still a reluctant seller, will seek nearer £20m for a player who joined from Lille two years ago; he would hope Arsenal's bid sparks an auction for his services.

Arsenal step up chase for Yohan Cabaye as panic sets in at the Emirates | Football | The Guardian
 

Huyu La profesa mbahili ndio kaibukia huku sasa duuuu!! This is an act of desperation!
Desperate times..........................................desperate measures!
 
Yaani we acha tu Mkuu VUVUZELA...Timu ambayo ilikuwa inahitaji nyongeza ya wachezaji watatu au wanne tu ili kuweza kuchukua taji la EPL miaka michache iliyopita sasa imekuwa mdebwedo wa hali ya juu kiasi cha washabiki kuanza kusema hovyo. Mie niliishiwa nguvu kabisa walipoamua kumuuza one of the best players in the World, Van Persie. Timu kama MANU, Chelsea na Liverpool kamwe huwezi kuziona zinafanya makosa makubwa kiasi hicho cha kumuuza mchezaji wao kinara. Alichoomba VP ni msaada katika usajili ili kuweza kulitwaa taji lakini baada ya kuvumilia miaka nenda miaka rudi akaamua naye kusepa, badala ya kumsikiliza na kutimiza matakwa yake wao wakaona ni bora wachangamkie ngawira!!! Sasa wanahaha huku na kule kutafuta wachezaji.

Huyu La profesa mbahili ndio kaibukia huku sasa duuuu!! This is an act of desperation!
Desperate times..........................................desperate measures!
 
Last edited by a moderator:
it seems vijana wako poa its too earl tp givup lets wait and see,: gunners 4 life
 



Tatizo lingine wanalokutana nalo Arsenal kusajairi mwaka huu ukiachilia mbali ubahili wao, ni kwamba walishaitangazia dunia kwa mbwembwe kwamba msimu huu wana pesa ya kumwaga na watasajili mchezaji yeyote wanaemtaka. Kwa hiyo vilabu vinajua pesa ipo ndo maana dau nalo linakuwa juu pale Arsenal wanapotaka kusajili.
 
Kwa kweli kwa upande wangu naamim the time for Arsene Wenger is Over kwasababu mara baada tu ya msimu uliopita kuisha alianza kutaja majina kibao bila kusajiri sa hivi baada ya kupata kipigo ndo kapata presha ya kusajili matokeo yake ndo atakurupuka kusajili wachezaji wengi halafu wanakuwa wabovu kama ilivynkuwa msimu aliopigwa pori nane ndo akakurupuka kusajili wachezaji watano kwa mkupuo lakin katika hao watano ni wachezaji wa wawili tu ndio wameonyesha uimara mpaka sasa, Na kipindi hiki pia naamin itakuwa ni muendelezo tu kwasababu kashapata presha kutoka kwa mashabiki atakurupuka kusajili halafu mwishowe anasajili mchezaji garasa kama ilivyokuwa kwa Park au Santos.
 
it seems vijana wako poa its too earl tp givup lets wait and see,: gunners 4 life

Duh!

Ona hapa mmoja wa wakongwe wa Arsenal anavyomruka pulofesa Chenga, oopps Wenga.

Tony Adams criticises Arsenal's playing style and calls for new wage structure at the club!

Tony Adams has his eyes on Arsene Wenger's job
By Richard Beech | 20 Aug 2013 14:36

Former Arsenal captain Tony Adams has criticised the wage structure at the club, and says that it needs to be reconsidered if the Gunners are to attract top players.

Adams also took aim at Arsenal's playing style under Arsene Wenger, claiming that Arsenal are 'too open', and calling for a more defensive style.

"The club are paying in excess of £150m on players' wages but there have been a lot of average players on £50,000 a week when the big teams now need four or five players on a lot of money," Adams told Zapsportz.com.

"Arsenal do not attract those big players because of their wages structure."

But Tony Adams defended the club's record when it comes to spending money on transfer fees.

"I know Arsene would not spend £25m on buying Bayern's goalkeeper Manuel Neuer for example, no matter how much he might need a new keeper," Adams said.

"I think that is a great policy, but the club needs to restructure its wages spend, that is a vastly different matter."

The Arsenal legend has his eyes on the Wenger's job, but said that he wouldn't be able to win with the current crop of Arsenal players.

His solution? Bring in more defensive minded players.

"Arsene plays too open. I've more of a defensive eye. That's not to say I would be defensive, but the club have bought too many players like Santi Cazorla and Tomas Rosicky and not enough Patrick Vieira types.

"One hundred per cent I'd like to be Arsenal manager.

"Of course my heart says 'yes, yes, yes', but my head says 'can I win with this current team?' My answer is no, I can't and I am not sure anyone can.

"I would want assurances if I walk through the door, those assurances meaning I'm given the go ahead to build a new team.

"I would get my teeth into building a new team but to achieve that, you would need to spend.

"To keep hitting the top four and qualifying for the Champions League is great, and Arsene has done such a great job, but there is going to come a day, and that won't be far away, when Arsene leaves.

"For a long time he has been a one-man band, but that won't happen again. The next man appointed will be the head coach, not the manager."

Source

http://www.mirror.co.uk/sport/football/news/tony-adams-criticises-arsenals-playing-2191832?utm_source=twitterfeed&utm_medium=twitter
 
Prof haendi kokote, msimu ndio kwanza tumecheza mechi moja wanoko na magazeti ya udaku ambao wamepewa mpunga na yule mrusi mjinga wanafikiri wanaweza kuwatetemesha Gunners.Kronke keshasema hamuuzii share zake yeye aendelee huko pembeni kujenga kambi lakini the programmme of Prof ipo pale pale. Msione wengi maneno mengi ni fitna pamoja na wivu.

Wote hawa kina
Chelsick peas of ants pamoja na ma-sugar daddy wao wanafikiri tutaweweseka, mechi tumepoteza moja out of 38 what is the big deal? Its a marathon. mambo yote kesho kule kwenye kuwania CL si mnachubiri tufungwe mpige tarumbeta karibuni. Hii inaonyesha jinsi tunavyoweka agenda mtashangaa wenyewe time will tell.
 



Shiner: Arsenal left-back Kieran Gibbs turned up
for training with a huge plaster over his left eye








Striped affair - Prof. Arsene Wenger (centre) addresses
his garishly-dressed team in training









Under fire: Wenger (left) has come under intense criticism
after his side's 3-1 loss against Aston Villa







Fighting fit: Olivier Giroud (left) and Laurent Koscielny (centre) lead
Arsenal's players on a light jog







Sidelined - Alex Oxlade-Chamberlain could be out
for up to six weeks with a knee injury






Jack Wilshere stretches as Arsenal prepare
for the crucial play-off clash








Talking tactics: Arsene Wenger and Steve Bould (centre right)
look on as the team train







Jack Wilshere concentrates as he plays a pass
to team-mate Emmanuel Frimpong







Arsenal must beat Fenerbahce in the Champions League play-off
to reach the group stage






Down to the bare bones: Yaya Sanogo (right) and Carl Jenkinson
join in training





In full flight? Theo Walcott (left) gets his shooting boots
on as Aaron Ramsey warms up





Timu imetua Uturuki kwa mpambano wa kesho ..... .... .... .....


 


Ni wiki sita tu mkuu kutokana na habari rasmi kutoka kwa Gunners ....miezi sita majungu ya wanoko . ...
 
Howard webb appointed for fulham vs arsenal game. Meanwhile, Anthony Taylor dropped this week, the mug cost us 3 points and koscielny .,


Umeona eh! Wacha tutakomaa nao tu mwaka huu. Kumbuka ni huyu huyu refa alimpa kos red card mwaka jana ..... .. tutafika tu pamoja na vituko vyao.
 
......game ijayo Man U wakipoteza utaskia mashabiki wao wanaitaka shingo ya Moyes!

Mourinho kasema sawasawa, ligi haitabiriki...yeyote aweza adhiriwa next game....so far anakwambia kuna 6 contenders wa EPL title!

.....Arsenal tunahitaji addition angalau wachezaji watatu wapya....

Wale madogo Gnabry, Akpom na Ensfield pamoja na Ryo Miyaichi watatufaa kwenye FA na Capital One tournents
 
Huyu La profesa mbahili ndio kaibukia huku sasa duuuu!! This is an act of desperation!
Desperate times..........................................desperate measures!

Prof gani asiyekuwa na akili mbadala?Babu ovyo sana.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…