MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Mnamlaumu Wenger bure, mnataka wachazaji wenye majina ambao hawataki kuja kwenu sasa yeye afanyeje? Amejaribu kupata wachezaji lakini timu haina ambition kwa wachezaji hawaoni future ya trophies.
......tatizo sio Wenger....
Stan Kronke, the board na Glazidis waondoke!!!
Remember this bid?
PSG, Monaco et al zimefufuliwa na mega rich investors, Arsenal inahitaji 'life support' ya aina hiyo kwa sasa, sio bahili Kronke na vile vibabu vya board!
......tatizo sio Wenger....
Stan Kronke, the board na Glazidis waondoke!!!
Remember this bid?
PSG, Monaco et al zimefufuliwa na mega rich investors, Arsenal inahitaji 'life support' ya aina hiyo kwa sasa, sio bahili Kronke na vile vibabu vya board!
Wote ni tatizo pamoja na Wenger. Wenger ana nguvu pale Arsenal kama alivyokuwa Ferguson kwa United ila tu ana namna yake ya kufanya mambo ambayo hataki kuibadili pamoja na kuwa upepo umebadilika. Wenger ndio anatoa go ahead kama tuweke bid au tusiweke. Akisema hapana ni hapana, sasa kwa nini asilaumiwe? Ubishi huu ndio unatupeleka Istanbul kwenye Champions League tukiwa na kikosi chepesi mno. Leo hii Southampton wanalipa paundi milioni 15 kumsajili Osvaldo, kulikuwa na ajabu gani kulipa 30 kwa Higuain? Kama sisi tulimuuza Alex Song kwa 15m kwa nini Gustavo asiuzwe kwa 17m? Ubahili ndio unamcost.
We have Alisher Usmanov tatizo they are freezing him out. But ni tajiri na yuko tayari kusaidia sio kama Kroenke amekaa kama bundi tangu aje gundu tu.
Gustavo Arsenal imeripotiwa walitoa £14mil badala ya £17mil ila wolfburg wamemchukua kwa £12mil hapa kuna jambo moja! GUSTAVO anataka acheze week and week out atengeneze mazingira ya Brazil mwakani we imagine amekwenda timu isiyocheza CL ari mradi tu apate uhakika wa kucheza
Arteta kama DM na vice captain,Ramsey,Rosick,Santi hawawezi kukaa benchi kama wako Fit kwenye kikosi cha Wenger...ukisema Arteta si kiungo mkabaji mzuri sitokubali kwani Modern football hata Quick passer,good tackler,good vision+work rate anacheza tena vizuri tu mifano ni mingi Carrick baada ya RVP alikuwa ni player of the season, pirlo kule juve na italy ndo DM kwenye 3-5-2 formation...imagine Bosquests kumpigisha benchi Mascherano pale kati...mambo yamebadilika sana hata ukitazama wakati Song anacheza kama DM tulifungwa magoli 49 kwenye EPL lakini alipokaa Arteta tumefungwa magoli 37 tu...
GUSTAVO alitakiwa aje kuwa cover na ku expand squad depth ndio maana alikataa
Mi binafsi sitaki wenger aondoke ila anatakiwa abadilike kidogo hasa kwenye usajili ila tujue ni mzee wa miaka 60 na ushee "na ni very sturbon" je makocha wazuri wako wapi? Jurgen klopp? Je atakubali kuja? Na hata kocha mpya akija anatakiwa akute timu iko stable sio kwenye crisis kama Roy hodgson na Kenny Daglish walivyoiacha Liverpool mwaka 2009-2010 na suala lingine je Stan na Gazidis watakuwa ambitious baada ya kuja kocha mpya?
WENGER hatosaini mkataba mpya na hasa huu ukiisha msimu huu kwa jinsi anavyotukanwa dunia nzima
Yes, lakini statistics zinaonesha Gustavo yuko vizuri zaidi ya Arteta naamini angekuwa anacheza week in, week out. Kusingekuwa na mantiki kumweka benchi ila tungekuwa solid zaidi kama wakicheza pamoja. Arteta angekuwa anabadilishana na Ramsey. Kumbuka Arteta ana miaka 31. Haya majeruhi anayopata bila kucheza competitive games ndio matokeo ya kutumika sana. Angalia United, siku nyingine Carrick hachezi kabisa au anacheza kidogo kwa kuwa wanajua kwa umri na umuhimu wake lazima wam-manage vizuri kwa upande wetu Arteta akiwa fit ndio jina la kwanza kwenye team sheet. Sisi hatujali kuhusu depth na ndio maana hatukumkazania. Asikudanganye mtu, Arsenal ni timu kubwa na kocha bado anaheshimika, wachezaji wengi wangependa kucheza chini yake. Lakini siku zinavyozidi kwenda anazidi kuwa mkaidi na matokeo tunayaona leo. Ile siku Arsene anasema we can challenge with or without additions nlikuja hapa kuuliza kama kweli mnamuamini? Angalia sasa tunakwenda kucheza na Fenerbahce na kikosi kimejaa watoto. Ramsey. Wilshere na Rosicky hawako fit 100% kasema Wenger mwenyewe. Arteta na Diaby majeruhi ya muda mrefu. Nani atatuokoa? Frimpong? :disapointed:
Tatizo kubwa ni Peter hill wood na Danny Fizman hawa ndo waliomleta kwa mbwembwe Stan kroenke na akaja na ahadi kibao huyu jamaa...David Dein alijua tutapata wakati mgumu kushindana na Deni la £450mil hivi la uwanja akawambia tukakodi new wembley iwe home ground kama wanavyofanya 1860 munich na Bayern Munchen pale Allianz Arena wakamtosa...akawashauri aje mtu mwenye pesa na ambitious ambae atatoa pesa zake kusapoti akamleta Ulisher wenzie wakamkataa akamuuzi 23% ya hisa zake akajiuzuru na ukichunguza vizuri utagundua Gazidis si mzoefu kwenye umafia wa transfers kama Dein...hapo ndo pagumu
Hahahahhh. Wacha1 huwa hapendi sana hii maneno. Ngoja akusikie unapomtusi MfaransaOnly fools keep on doing the same thing over and over again expecting different results. The guy is obviously a fool, but some deluded fans thing he is a professor. Yes, more of a nutty professor.
wembley haijawahi na haitakodishwa kwa timu yoyote kutumia as home ground......
bayern na 1860 munich HAWAKODI ALLIANZ ARENA....wanautumia wote kwa sababu WALIKUWA WANA OWN 50/50 lakini sasa hivi BAYERN OWN 100% na bado wanatumia wote
Miaka ya 1999 kabla Wembley haijavunjwa Arsenal walikuwa wanaikodi kwa game zao za UEFA CL ilikuwa wanafanya hivyo kupanua mapato kwani Highbury ilikuwa inachukua watu 40,000..
Bayern na 1860 munich wanakodi uwanja nenda kafuatilie, JUVENTUS na Arsenal hivi karibuni ndo wamejenga viwanja kwa kukopa pesa
.....the Ox out miezi sita.... 🙁
Kwa Arsenal na setbacks zilivyo, huyu ndio mpaka May mwakani...
The season (and world cup dreams) are over for him!
Babu Wenger as long as 4th spot ni between us and Spurs, hana presha kiviiiile....
Kombe keshawakabidhi "top three!" Waligombee.
....huyu mzee ni akili zake au board ndio inamuongoza? maana hata tuchonge sanaaaa, at the end of a day Bank account yake inaingiza £7.5m a year!
Tungepata "ruthless" owner, akili ingemkaa sawa.
Sasa hivi watu wamechoka, mashabiki hawatakubali tena kusubiri mpaka February ndio timu ianze kupigania nafasi ya nne. Kama uliwaona vizuri kwenye mechi ya Villa watu hawakuwa na subira mpaka dakika 90 ndipo waoneshe hasira zao. Kuna mawili, wapoteze support ya mashabiki wakiendelea na ujinga au wasajili vizuri na waache porojo. Watu waliaminishwa huu ndio msimu tutakuwa na nguvu financially na tutasajili mapema ili kujiimarisha kwahiyo patience ilizidi kupungua jinsi siku za msimu kuanza zilivyokaribia. Jana Wenger amehojiwa na Daily Mirror akasema mashabiki wapunguze negativity itawaathiri wachezaji na kutuharibia msimu lakini negativity kaileta mwenyewe kwa ukaidi wake. Sio rocket science kwamba kuanza msimu na wachezaji 15 wa kikosi cha wakubwa walio fit ni risk kubwa sana. Na wala haijachukua mechi nyingi kuonesha tuna management mbovu mno. Kwahiyo ni chaguo lake, kusuka au kunyoa lakini mashabiki hawana subira tena.
Sasa hivi watu wamechoka, mashabiki hawatakubali tena kusubiri mpaka February ndio timu ianze kupigania nafasi ya nne. Kama uliwaona vizuri kwenye mechi ya Villa watu hawakuwa na subira mpaka dakika 90 ndipo waoneshe hasira zao. Kuna mawili, wapoteze support ya mashabiki wakiendelea na ujinga au wasajili vizuri na waache porojo. Watu waliaminishwa huu ndio msimu tutakuwa na nguvu financially na tutasajili mapema ili kujiimarisha kwahiyo patience ilizidi kupungua jinsi siku za msimu kuanza zilivyokaribia. Jana Wenger amehojiwa na Daily Mirror akasema mashabiki wapunguze negativity itawaathiri wachezaji na kutuharibia msimu lakini negativity kaileta mwenyewe kwa ukaidi wake. Sio rocket science kwamba kuanza msimu na wachezaji 15 wa kikosi cha wakubwa walio fit ni risk kubwa sana. Na wala haijachukua mechi nyingi kuonesha tuna management mbovu mno. Kwahiyo ni chaguo lake, kusuka au kunyoa lakini mashabiki hawana subira tena.
Pundit mmoja alisema anatarajia coach wa Newcastle ndio atakuwa wa mwanzo kuachia ngazi lakini kwa mtaji huu tulionao naona kama Wenger asifikishe Dec kama asipopanga karata zake vizuri