LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,388
Jana muliweza kuuchomoa japo harufu ya haja kubwa ilisikika, leo je?
Ngoja leo tuwaone!
Jana muliweza kuuchomoa japo harufu ya haja kubwa ilisikika, leo je?
Jana muliweza kuuchomoa japo harufu ya haja kubwa ilisikika, leo je?
Wakuu game yetu na Galatasary inaanza saa ngap?Ahsante
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
FULL TIME ARSENAL 1 GALATASRAY 2
Drogba kawanyamazisha washabiki wa Arsenal
Wachezaji wa Arsenal wanamwogopa Drogba hadi leo
.... Peasant, njoo umshabikie Drogba hapa japo anaanzia bench! 😉
.....can only be Drogba's nightmare! Peasant, haya njoo ujidai hapa kaka....
Drogba bado msumari kwetu, but i hope itakuwa a blessing in disguise huyu mzee Wenger achangamke usajili before its too late ....
C.c Balantanda, Richard, BAK, Wacha.... COYG, Together We Stand!!!
FULL TIME ARSENAL 1 GALATASRAY 2
Drogba kawanyamazisha washabiki wa Arsenal
Hahahaaaa, Drogba na Arsenal bana!
![]()
Drog the bar na kombe la Emirates
Wachezaji wa Arsenal wanamwogopa Drogba hadi leo