Duu, Naona tumepata goli moja dhidi ya napoli.
Naona Arsenal wanaangaika kuuchomoa lakini waangalie wasichomoe na mavi tu
unakunywa gongo ndugu? Umepiga makelele weee! Mwishowe umeumbuka
......umeshindwa hata ku update final score!
......haya mkakojoe mlale. Hafungwi mtu hapa msimu huu!
Mwaka huu Arsenal ushindi wenu suruh tu. Babu AW alivurugwa asijue nini chakufanya