Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakuu Gunners naona Real Madrid wanatusumbua sana, nadhani wanasikiliza maneno ya wale haters wetu. Lakinisi muda si mrefu tutaongeza pesa na inaweza kufikia milioni 26 mradi tunampata Gonzalo Higuain.

Sasa ratiba ya Emirates Cup imetoka na kutakuwa na timu za Napoli ya Italy, Porto ya Portugal na Galatasaray ya Turkey na mashindano hayo yatafanyika kati ya terehe 3 na 4 mwezi August.

Pamoja na wenyeji Arsenal mechi zote zitachezwa kwenye uwanja wa Emirates jijini London.

Galatasaray watacheza na FC Porto saa 14.00 Jumamosi August 3 na baadae Arsenal itacheza na Napoli saa 16.20 UK time

Jumapili tarehe 4 saa 1400 Napoli watacheza na FC Porto na Arsenal watapambana na Galatasaray saa 16.20 .

Karibuni Emirates.

COYG
 
......
..The France international suffered knee ligament damage in March and is expected to be sidelined until Christmas.

Father Christmas wetu 2013, Vassiriki Abou Diaby. Huyu jamaa huyu....
Ana zali kweli na Arsene Wenger aisee. 2014 ndio mwisho wa mkataba wake, sio ajabu akapewa na mkataba mpya...
 

Mkuu si umesema Gonzalo yuko london kwa medical check au
 
Ndivyo nnavyoamini lakini ni mpaka Arsenal wathibitishe. Ila kila kitu kiko tayari.

Ni issue kama ya Yaya Sanogo kwani alikwishasajiliwa mwezi mmoja kabla hajatangazwa rasmi.

Nafikiri itatangazwa wiki ijayo kwani wachezaji wote wameanza mazoezi na Alhamisi Arsenal wanaelekea Far East kucheza katika nchi za Indonesia, Vietnam na Japan kwahio tusubiri announcement very soon.

Arsenal itaanza kucheza nchini Indonesia na baadae tarehe 17 watacheza na timu ya taifa ya Vietnam. Halafu wataekea Japan watakapocheza kwenye uwanja wa Nagoya kucheza na Nagoya Grampus timu iliyowahi kufundishwa na Arsene Wenger.

Arsenal itamaliza mechi zake za kirafiki barani Asia kwa kucheza jijini Tokyo na timu ya Urawa Red Diamonds kabla ya kuelekea nchini Finland ambapo itakwaana na Manchester City jijini Helsinki.

COYG!
 
......

Father Christmas wetu 2013, Vassiriki Abou Diaby. Huyu jamaa huyu....
Ana zali kweli na Arsene Wenger aisee. 2014 ndio mwisho wa mkataba wake, sio ajabu akapewa na mkataba mpya...

Ana Pacha wake Jack Wilshere
 




All smiles: Jack Wilshere poses in the new Arsenal strip










Carl Jenkinson, Alex Oxlade-Chamberlain, Jack Wilshere, Theo Walcott,
Aaron Ramsey and Kieran Gibbs helped unveil
the new Arsenal strip outside the Emirates Stadium












Future legends: Six of Arsenal's British stars unveiled their new away kit







Invincibles? Nike revealed an early image showing Wilshere in the strip​


Unbeaten: Arsenal went the whole 2003/04 league campaign
without losing a game
 



Your ONLY chance for the silverware.
Come on you Goons!
 

Vijana wametimka leo na kuelekea Far-East







Prof. Wenger hasn't made as many signings as he would
have liked before the tour












Ready to go: Theo Walcott relaxes
prior to take off from Luton airport











With the giant: Wilshere (top), Podolski (left) and
Mertesacker (bottom) prepare for the tour









Excited: Olivier Giroud is one of many Arsenal players
who are going away for the first time with the club









Gunners: Arteta (right) and Sagna (left) having some fun
on the plane in front of the camera








First trip: Kris Olsson (left) is ready for his first tour to Asia,
while Szczesny (right) is looking to be Number 1













Talented: Gnabry (Top) and Aneke (Bottom)
are a few of the youngsters in action for Arsenal




'' ..... .... 16-year-old half-Ethiopian Gedion Zelalem is included, as are Kris Olsson, Chuba Akpom.''


 
Duh kikosi cha arsenal is the most pathetic of all msimu huu mmeshindwa hadi na crystal palace...yangu macho. #cfc
 









Culture: Prof. Wenger (Top) and Walcott (Bottom)
getting in the spirit for the Asia tour after landing




Timu imetua Indonesia kwa mapokezi kabambe .... ....







Away from transfer speculation, Wenger added: 'We are very happy to be here. We've never been here before so we want to give happiness to all our fans here. I'm sure we can leave here with great memories
 







SCARF ACE ... Wenger arrives in Jakarta with Ivan Gazidis,
Jack Wilshere and Theo Walcott






Lads on tour: Jack Wilshere and his Arsenal team-mates
arrived in Indonesia to start the pre-season tour





Hidden talents: Alex Oxlade-Chamberlain (above)
and Wojciech Szczesny
showed their skills on the piano










BTW Prof kachema .... .... ‘The link with PSG is there because I’m French and I know the owners. But if that was the case then I would be there already. ‘My heart is with Arsenal. I’m not at PSG because my heart is with Arsenal.’
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…