Arsenal (The Gunners) | Special Thread


I can't wait...wouh.........!!!!!!
 

Rooney no no nooo....!!
 
Pre season imeanza, Sanogo in. I hope a stellar signing is on the way before we go on tour :becky:
 
Mkuu eleza vizuri ili tupate elewa, ina maana ni confirmed?

Mkuu Arsenal wamethibitisha usajili wa Yaya Sanogo kama niliyowahi kuema huko nyuma ila habari zote huthibitishwa na website yao.
 
Huna anyeuzika kati ya waliobaki.

Andrey Arshavin - Zenit St Petersburg (Russia)

Vito Manone- Sunderland (English Premier League)

Johan Djourou- Hamburga SV (Germany) Bundesliga

Carlos Vela - Real Sociedad (Spain)

Francis Coquelin- SC Freiburg (Germany) Bundesliga

Nicklas Bendtner - kwenda Eintracht Frankfurt ya Germany (Bundesliga ) kama akikubali pay cut.
 

Update- Huguain yupo London kwa medical.

Mchezaji Gonzalo Higuain yupo jijini London kufanyiwa uchunguzi wa afya yake na baadae kumalizia taratibu za usajili wake kuchezea timu ya Arsenal.

Hizi ni habari ambazo zimekuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa timu yetu hii na inasemwa kwamba kulikuwa na matatizo kwenye makubaliano ya ada ya usajili na mawakala ambao ni baba yake na kaka yake.


Mshambuliaji Gonzalo Higuain.

Kama mambo yakienda sawia na usajili wa Julio Cesar wa QPR basi tutakuwa angalau tumefikia asilimia 90 ya usajili muhimu kwa timu yetu na huenda wachezai hawa wawili wakatangazwa siku ya Ijumaa.

COYG.
 

CC: Ulimakafu, Kuntakinte.
 
Salama mkuu?

Na hii ya Luis Suarez kutakiwa na Arsenal imekaaje?

Hii inawezekana tatizo Suarez tayari ana matatizo ya nidhamu.

Lakini lolote linaweza kutokea ingawa leo kwenye mazoezi ambayo vijana wameanza, Marouane Shamakh ameonekana hivyo amerudi na inaonyesha Wenger bado ana mipango nae.

Tumebakiza wachezaji wawili lakini wa muhimu ni Higuain na Fellaini na kama sio Fellaini basi Lars Bender.

Washambuliaji tutakuwa nao ukijumlisha huyu Higuain na Sanogo nafikiri ameajiliwa kusaidia kampeni za Carling Cup na FA Cup sio sana kwenye ligi kuu.
 
Wakuu wa Gunners mambo niaje? Vijana walikuwa Colney leo kujiandaa na safari ya kwenda Vietnam pamoja na nchi kadhaa kule Far-East. Vijana watakaotua Emirates tayari wanajulikana na baadhi watakuwepo kwenye msafara wiki ijayo. Prof kamaliza likizo yake na sasa yupo ready kunoa ushambuliaji na defence.

Wanoko wameshaanza kuweweseka nasikia walijaa tele humu kama pishi la udaga wakati chichi wengine tulikuwa bado tuna-enjoy summer. Wimbles mwaka huu imekuwa mbovu sana kutokana na all England club kupanga ratiba mbovu, tunachubiri kuona kama wiki mbili zijazo Tiger ataweza kuchukua British open kule Scotland.







Theo akinyanyua vyuma ... ... ..








Frimpong akiwa na Jack .... ...















Fitness coach Tony akifanya vitu vyake ... ...




Ryo na Fabianski




The Ox ...... ..




the Morocan was there ... ... ..
Next new signings ..... ..... .... .... ....
 
Tupo mkuu naona mzee Wenger safari hii anataka timu hasa.

Nimeweka hapo juu wachezaji ambao mpaka leo hii wataondoka akiwemo Francis Coquelin na Ryo Miyaichi ambae atakwenda Feneyoord kwa mkopo.

Coqueilin ana matatizo ya experience na Wenger anataka akacheze mechi nyingi zitakazomfanya awe ngangali uwanjani na kuleta imani kwamba anaweza kucheza vizuri kwenye midfield.

Ryo Miyaichi ana tatizo moja kubwa kwamba hapati work permit kwa sababu hajacheza sana mechi za kimataifa chini kwake, hivyo kumfanya asitimize masharti ya kucheza mechi za kimataifa kwa asilimia 75.

Lakini akienda tena Feneyoord na akacheza hadi mwakani atahesabika kama home grown player kwa sheria za FIFA na ataweza kupata work permit akiwa na umri wa miaka 21.

Ila kwa kweli mzee Wenger amefanya clearence ya hali ya juu.

ARSENAL INS AND OUTS.

INS- Yaya Sanogo

Outs- Craig Eastmond (Colchester, free), Jordan Wynter (Bristol City, free), Andrey Arshavin (Zenit, free), Sanchez Watt

(Colchester, free), Sebastien Squillaci, Denilson, Conor Henderson, Jernade Meade, James Shea, Reice Charles-Cook,

Sead Hajrovic, Philip Roberts, Nigel Neita, Samir Bihmoutine, Josh Rees (all released)


 

23 Million for Madrid's Bench Warmer...lol crazy stuff from poor Wenger. Lambda atasaidia mmalize juu ya Tottenham
 


I hear chickens trembling here. Now Arsenal will do the Quadruple and be named the greatest team of all time. Hahahahahahahahahahahahahahahhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…