Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nahisi leo Chelsea,Arsenal na Spurs zote zitatoka droo
 
Tennis .... ... Rafa anafanya vitu vyake kule Roma Fedex so far yupo down 6 - 1; 5 - 2 Rafa yupo gado ana-return to win Roma ... ... ... safi sana ... ... tunangoja Gunnerschacha .... ....

Rafael Nadal winner in Rome 6-1; 6-3 .... ..... ... good work.

COYG
 
Ramsey ni mojawapo ya wachezaji wanjaotakiwa kuachwa na Arsenal.....Hana msaada
 
Mbona wananipa mashaka!!

Newcastle wanataka kutoka sare na wanacheza mtondo wa 4-3-3 na Arsenal wanacheza 4-3-2-1.

Arsenal wanashindwa kupenya ngome ya Newcastle ambayo imepanga kusumbua leo.

Lakini kutafanyika mabadiliko muda si mrefu.

Washambuliaji wa Newcastle Sisse na Ghoufran ndio wasumbufu kwa sasa kwani wanapenya kuipita back four.

Arteta ameshindwa kuendelea na mchezo na Alex Oxlade Chamberlain anaingia kuziba nafasi yake.
 
Inabidi wagangamale leo sio siku ya kuchezea mkuu!!
 
Alex Oxlade Chamberlain ameingia na kuchukua nafasi ya Arteta.

Hivyo Cazorla anarudi kiungo kuungana na Ramsey na Rosicky na pembeni kuna Oxlade Chamberlain na Walcott, mbele anaachwa Podolski.
 
Cheick Tiote na Yohan Kabaye naona wameazimia kuvuruga kila mpango. Wanacheza kama wapo kwenye fainali!
 
Habari nzuri ni kwamba Spurs wanaelekea mapumziko wakiwa 0-0 na Sunderland.
 
Back
Top Bottom