Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

That goal has cooled off my pressure... so to every gooner i guess.....
 
Alan Pardew anamtoa DM Kabaye na hii ni ishara ya kusalimu amri.

Vurnon Anita anaingia kuchukua nafasi ya Yohan Kabaye.
 
Naona kama yumepaki bus flani hivi.... tuongeze la pili aseee
 
Arsenal wamebadilisha nafasi za uchezaji kule mbele, Walcott amekwenda kushoto na Rosicky amekwenda kulia.

Santiago Cazorla amerudi katikati kupika mashambulizi zaidi.

Ramsey analinda back four. Na kidogo asababishe mpira wa adhabu kwa kukwatua Cheick Tiote ndani ya duara la kati ya uwanja.
 
Newcastle wanazidi kunywea wanamtoa mchezaji mwingine mzuri Ghoufron na anaingia Marveaux.
 
Sehemu ya kiungo ya Arsenal kwa sasa imeifunika kabisa kiungo ya Newcastle- Aaron Ramsey, Alex Oxlade Chamberlain, Santi Cazorla Thomas Rosicky na Theo Walcott.
 
Back
Top Bottom