Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa matokeo ya Chelski 2-2 Spuds,4th spot for CL is in our hands for taking.
 
Kwa matokeo ya Chelski 2-2 Spuds,4th spot for CL is in our hands for taking.
 
Ka msimu ndo kanaishia.. any hopes for the transfer window?

Arsenal wanaandaa Emirates Cup na safari hii zitakuwemo timu za Napoli ya Italy, Garatasaray ya Turkey na FC Porto ya Portugal.

Mechi zitachezwa weekend ya Jumamosi tarehe 3rd August 2013 na Sunday August 2013.

Arsenal mwaka huu inachukulia usajili very serious na tayari mazungumzo yamekwishafanywa na baadhi ya wachezaji muhimu kabisa ingawa haijawekwa rasmi.

Tunahitaji CB pale nyuma, halafu CM pale katikati na STRIKER.

Kuna majina yametajwa Ashley Williams wa Swansea, Higuain wa Real Madrid na Jovetic wa Fiorentina lakini hakuna jina la CM bado isipokuwa inasemwa Arsenal inaweza kusajili wachezaji wawili wa kiungo Maxime Gonalons na Clement Grenier wa timu ya Lyon ya France.

Maxime Gonalons ni CM kamili na anaweza kuingia moja kwa moja kwenye first 11 maana pengo la Alex Songo bado lipo ila Clement Grenier ni AM (attacking midfilder) ambae atakuwa anachukua nafasi ya Thomasi Rosicky.

Nafikiri ni mapema mno lakini kuanzia katikati mwishoni mwa Juni ntapata data kamili.

NB:

Tottenham leo kashinda na amekaa nafasi ya nne kwa muda wamefurahi utadhani wameshinda kombe.

Kama ntakuwa free tukutane hapa Jumanne, maana ni muhimu sana kuifunga Wigan.
 
Thanx Arsenal...4 goals against FA cup winners si muchezo!! Sasa tusubiri karata ya mwisho against Newcastle!!
 
Arsenal will now walk through CHAMPIONS LEAGUE while Wigan will go down to CHAMPIONSHIP.

Dedications to Emmanuela Adelina of Tuoteni-hamu Hotsoup!
 
hongera sana gooners........ Who is next?

top.jpg
 
Up next ni Newcastle Utd.

Arsenal kila kitu kipo mikononi mwao hasa suala la Champions League.

Tukishinda mechi hiyo kwa kiasi kikubwa cha magoli na Chelsea ikatoka sare na Everton(jambo ambalo halitabiriki) basi tutakuwa tumetwaa nafasi ya tatu.

Lakini ikiwa tutashinda kwa magoli 2-0 tutakuwa sare ya points na Chelsea na pia magoli basi itabidi tucheze mechi ya "playoff'' ili kupata mshindi wa nafasi ya tatu.

Hivyo mechi za mwisho katia ya Arsenal/ Newcastle, Chelsea Vs Everton na Tottenham vs Sunderland ni muhimu sana kwa kila timu na atakaetetereka basi anacheza Europa League msimu ujao.
 
Back
Top Bottom