Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Dakika ya 40
Newcastle 0-0 Arsenal
Newcastle 0-0 Arsenal
Anatusumbua sana huyo mtu...Yeye na CisseHuyu Ben Arfa..
Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leoHawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama
Hawa jamaa utafikiri wameambiwa wakifungwa ni kiama
Kuna bonus wameahidiwa na mmiliki wao Mike Ashley kama wanashinda leo
Ramsey hovyo kabisa.....
Wilshere ni spana mkononi,na msimu huu Ramsey amejitahidi ukilinganisha na huko nyumaHivi inakuwaje huwa anamuweka Wilshere benchi?