Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni kama tulikuwa tunacheza 10 uwanjani kwa dk 70 za mpira. Sikuona alichokuwa akifanya Podolski uwanjani. Bora Giroud huwa anaifanya timu mbele ikae na mipira.

Sikuona pia sababu ya babu kumtoa Rosicky na kumuingiza Wislsher. Rosicky alikuwa akiunganisha vizuri beki na foward line na alikuwa akikaba. Baada ya kuingia Wilsher Arsenal wakapoteana kabisa. Ukiangalia kwa game za karibuni wilsher kiwango kimeisha kabisa.

Any way, hii ndio timu yetu. A gunner forever!
 
Sijui lini Arsenal watafanyiwa hivi na Man United!?! Wapi Wacha1
 
Attachments

  • afc3b045e3705a0b75ad88ed9a13bb8d.jpg
    afc3b045e3705a0b75ad88ed9a13bb8d.jpg
    44.4 KB · Views: 43
  • 9f7f24fdd199f2c4da6ae8956e1d7870.jpg
    9f7f24fdd199f2c4da6ae8956e1d7870.jpg
    51.7 KB · Views: 40
  • 2d6ad5d50b7e333b37eb91923db65225.jpg
    2d6ad5d50b7e333b37eb91923db65225.jpg
    59.5 KB · Views: 50
Last edited by a moderator:
Umesahau kuwa tulishawahi kulichukulia kombe nyumbani kwenu? At Oldtrshford?

Chifu, swali langu liliuliza, sijui Arsenal watafanyiwa lini hiyo 'guard of honour' na Man United?

Sasa hayo ya kuchukua ubingwa OT mwaka 2001 kwa goli la Wiltord yametokea wapi?

Lini Arsenal watapewa 'guard of honour' na Man United?
 
No champions league Arsenal next season. Time to really strengthern our team not the Manchesters'
 
  • [*=center]

Wazee wa kubebwa kama kawaida yao .... ..... .... .... tutapambana nao tu ....
Vijana wamekaa uzuri washukuru tu
Giroud kufungiwa COYG

a02_34_600x338_1718808a.jpg

WAL BANGER ... Theo hits a cracking opener

a03_34_600x338_1718807a.jpg

THEO GRAND ... Rosiky hails scorer Walcott

Manure habari yao kwisha wanapanga kununua shoga lipi chijui baulize benyewe .... ... khe khe kh ekhe kheeeeeeeeeeeee
 
Chifu, swali langu liliuliza, sijui Arsenal watafanyiwa lini hiyo 'guard of honour' na Man United?

Sasa hayo ya kuchukua ubingwa OT mwaka 2001 kwa goli la Wiltord yametokea wapi?

Lini Arsenal watapewa 'guard of honour' na Man United?

Walishafanyiwa mbele ya FERGIE mwaka 1991 kocha akiwa George Graham japo hukuwa umezaliwa
 
Tunamlaumu Sagna bure upande wake alikuwa anawakaba Luis Nani+Evra na tunajua wazi walcott si mchezaji wa kukaba...mzigo ukamhelemea...Labda tutizame upande wa Manure wao Full backs zao zilikuwa zinasaidiwa na mawinga wakabaji na wenye kasi Nani na Valencia...simple tactics

kama AW angempanga Kulia Chambelain, Walcott kati pale na kushoto Cazorla, Sagna asingekuwa Exposed hivyo kwani OX anakaba sana

Kwa kweli tunaitaji Tough tackling DM na mshambuliaji aliekamilika "Fox in the Box"
 
Walishafanyiwa mbele ya FERGIE mwaka 1991 kocha akiwa George Graham japo hukuwa umezaliwa

Nilijua tu kuna mtu atakuja na stori za ligi daraja la kwanza. Mwaka 1991, ilikuwa ni ligi daraja la kwanza. EPL ilianza 1992.

Anyway, swali langu bado lipo pale pale, ni lini Arsenal WATAPEWA a guard of honour na Man United?

Sijauliza ni lini Arsenal WALIPEWA a guard of honour na Man United.
 
Back
Top Bottom