Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Nilijua tu kuna mtu atakuja na stori za ligi daraja la kwanza. Mwaka 1991, ilikuwa ni ligi daraja la kwanza. EPL ilianza 1992.
Anyway, swali langu bado lipo pale pale, ni lini Arsenal WATAPEWA a guard of honour na Man United?
Sijauliza ni lini Arsenal WALIPEWA a guard of honour na Man United.
Endelea kusubiri kama mlivyosubiri kuipata toka 1991 nyumbani kwa Arsenal...alafu unachekesha eti stori za League daraja la kwanza mbona inajumlishwa vikombe 7 kufikia 20 jumla vya EPL, hapo ujue ndio ilikuwa top flight premier league wakati huo! Okey nawe lini utatangazia ubingwa pale Emirates? Kama tulivyofanya mwaka 2002 "ikiitwa ligi kuu"?? Maana baada ya jana ishakuwa historia