Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Per-Mertesacker_2909368.jpg
Per-Mertesacker2_2909373.jpg
 
Kumbe Chelsea wanapmbea mechi hii iishe kwa sare ama Spurs wafungwe....

Sababu: Wanashushwa nafasi ya 4 Spurs anaenda ya 3
 
Wenger hajui kupanga wachezaji kutokana na timu anayocheza nayo,Podolski alistahili kuanza hii game
 
Kama haujui..utabaki haujui milele kama haitafanya juhudi za kujua.
 
Back
Top Bottom