Sawa stan anaweza kuwa tatizo ila Bodi wakati wa january ilifanya mkutano na Arsenal supporters trust (AST) wakasema wana £70mil na watatumia kusajiri uliona kilichotokea tulimnunua MONREAL na baada ya Fans kumzomea sana Santos na baya zaidi ni tukio lake la Tshirt ya Rvp pale OT
jiulize mechi 5 za mwanzo mwa msimu timu nzima ilikuwa inakaba mpaka ikasemwa kuna "bould's impact" mechi ya sunderland,montpellier,Stoke,southampton,Livepool na Man city baada ya hapo tukapoteana
Hivi game yetu pale OT ungekuwa coach ungewezaje kumpanga santos apambane na Valencia na Rafael? Hapo hapo alifanywa uchochoro na Jefferson Farfan siku 4 kabla? Ungewezaje kumuanzisha Walcott benchi? Mpaka dakika ya 60 hatukuwa na shots on target hata off target we umewahi ona wapi?
Mi nadhani kuna matatizo ya bodi ila hata mbinu za AW nazo ni tatizo nikuulize game plan ya Arsenal dhidi ya Bayern ilikuwa nini?
In arsene we trust? May be