Asee mi naipenda sana gunners lakini nimegundua kuwa kuna watu wanaipenda mara milioni moja zaidi yangu. Wakuu mkumbuke kuwa tunakaribia mwaka wa 10 sasa hatujachukua kikombe chochote! Hizo story za sijui kuna kiasi gani cha fedha kipo kwa ajili ya kusajili wachezaji mbona tunaziskia kila summer? Mbona kila january wimbo ni huohuo? Na AW anasema kila siku atasajili lakini unashangaa hadi deadline ya transfer inafika hajasajili mtu, sana sana utaskia kasajili kitoto cha miaka 15!
Hii timu inaendeshwa kibiashara zaidi which is good for the owner na AW is the perfect man for him, kama unaendesha biashara unafikiria kupata faida na ukiwa na manager kama AW ambaye hatumii hela zako kwa sana kununua wachezaji na wakati huohuo anauza waliopo na kukuletea mamilioni, what else do you want? You never sack him. Lakini haya masuala ya balance sheet na ukubwa au udogo wa deni, they mean absolutely nothing to me kama mshabiki if the team is not performing. AW na board wagundue kwamba mpira ni hela siku hizi- you dont spend- you dont win, its that simple!
For the first time in 16 years we are in a serious risk of missing out on the CL spot, this will hit them hard in their pockets kwa kukosa mamilioni yanayokuja na ushiriki wa mashindano hayo and to be honest- I so hope it happens kwa sababu hata tukishiriki, we all know the highest we can get ni robo final, bora tukose wanunue wachezaji wa maana tujenge timu.