Muda bado sana babu....
Nina uhakika tutarudi 2nd half na kusawazisha kisha kuongeza...
Mpira dakika 90 babu DC
Mertesacker
Spurs 2-1 Arsenal
Magoli yapo mengi kama kawaida ya game ya Arsenal na Spurs
Arsenal ni sikio la kufa. Hamia Man UnitedSawa kabisa mkuu...Hii derby huwa inakuwa na magoli mengi..