Ni kwa nini Wenger ansmpenda sana Ramsey?...Arsenal kuanza na Ramsey kunamfanya Cazorla acheze pembeni na hilo litakuwa tatizo kwa Cazorla kwenye kutafuta vyumba ili watu wafunge.
Kwani si mchezaji wenu!Ni kwa nini Wenger ansmpenda sana Ramsey?...
Arsenal leo lazima mtandikwe!
Tushachapwa...
Gareth Bale