Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Z
Manchester United 8 - 2 ArsenalDid you rather mean that!??hahaha...khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee...pambaff back at u!:rockon:
Kumbe hamwezi kuwasahau waliokutoeni bikra kinguvu mwaka huu mkaishia kumlalamikia mike clatternberg kwa kumshikia miguu MAN U anapotoa kibako!PAMBAAAF every time you breath!
 
Kumbe hamwezi kuwasahau waliokutoeni bikra kinguvu mwaka huu mkaishia kumlalamikia mike clatternberg kwa kumshikia miguu MAN U anapotoa kibako!PAMBAAAF every time you breath!

maskini weee.....aya mae!!!

maana umesahau siku tatu baadaye kitu tulichomfanya.

we aint like u loser!!!!
 
By kupe

Timu yetu Arsenal! Mara ya mwisho Arsenal kutwaa taji...
-Rais wa Tanzania alikuwa Mkapa
-Kim Kardashian alikuwa bikra
-Diamond alikuwa anaitwa Nassib Domo wa
Tandale
-Nick Minaj alikuwa flat kama Muhindi
-TBC ilikuwa inaitwa TVT
-Nokia 3310 ndo ilikuwa simu ya kifahari
-Mtandao wa tiGO ulikuwa ukiitwa Mobitel
-Airtel ilikuwa ikiitwa Celtel
-Mbeya ilikuwa ikiitwa Manispaa
-Noti ya tsh 10,000/= ilikuwa ya bluu
-Daz Nundaz ndo lilikuwa kundi maarufu la
Bongo fleva
-Misanya Bingi ndo alikuwa presenter mkali
Bongo
-Clouds FM ilikuwa haisikiki zaidi ya Mbezi
Luis
-Nauli Dar-Mbeya ilikuwa buku nane
-Soda ilikuwa sh 250.
-Osama alikuwa mapangoni Kandahar
-Wilshere alikuwa mwokota mipira
-Papa John Paul II ndo alikuwa kiongozi wa
Katoliki
-The bold and the beautiful ndo ilikuwa
tamthiliya kali Bongo.
-Tanzania bara ilikuwa na mikoa 20.:O





JamiiForums ilikuwa inaitwa JamboForums
 
sport_wenger2_1678404a.jpg



ARSENE WENGER insists his desire remains undiminished
 
article-2282732-18328FB4000005DC-140_634x466.jpg


Prof akiwa mazoezini leo ... .. kabla ya mtanange wa kesho ... ...



article-2282732-18328FB0000005DC-964_306x423.jpg


Theo alikuwepo .. ... ..


article-2282732-183292A6000005DC-221_306x423.jpg


Carz kama kawa .. ...




article-2282732-1832914D000005DC-391_634x472.jpg


Jack huwa hakosekani .. ...


BTW Pimbi wa Kibera anashinda hapa chiku hizi . .. ... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Umeasi siku hizi tangu wale jamaa wanaotumia flying toilets walipokukamata. Chacha kama kweli 'where we dare talk openly' kwa nini umekubali
pimbi afunge New Era at the Emirates? Au bado wivu unawasukuma?

Ukweli wa mambo ambayo hamuwezi kuubadili
Gunners tunatisha, yaani majority ya media pamoja na yule mrusi mnawalipa vibaraka waje kutoa uchochezi Gunners lakini Prof na kundi lake wametulia kama maji mtungini. Hamuwezi kubadili mafanikio ambayo prof ameleta pale Emirates na hawa wanaolia nyau watakiona cha mtema kuni kilichomtoa kanga manyoya .. ... ... ... COYG.


BTW New Era at the Emirates ilikuwa na inaendelea kuwaumiza wanoko wa Chelsick, Manure na vibaraka wao, hawalali bila kuiota na kuweweseka kama kunguru.
 
1 mpaka sasa tuangalie
Huenda mpira ukabadilika Villa wauri hasa kipindi cha mwanzo Arsenal inahitaji kupata goli jengine kuvunja nguvu
 
Bunduki japo wanaoongaza wasippkiwa makini goli linarudishwa.
 
Back
Top Bottom