Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kule mashetani wekundu washatupia cha pili against QPR, kazi tunayo. We are no longer competitive!!
 
Msianze kuhesabu hii timu mnaijua kwa kuconcede magoli dakika za mwisho.. I'm laughing my azz out loud at Arsenal.
 
Habari za jioni hapa kijiweni.
3 point in our bag...............still clocking...............1 point to the top FOUR.

Hata kujikongoja napo ni kutembea................Chavs and Tottenham mind the gap
 
Weekend nzuri kabisa kwangu....

Yanga a.k.a LIBOLO ya Bongo kampiga Azam bao moja....

Arsenali nao wameshinda....

Bado Real Madrid na Juve.....Wakishinda weekend itakuwa murua kabisa
 
Siyo mbaya tumeshinda,ila ushind huu hauniondoi kwenye mada ya kumtaka Wenger aachie ngazi!!!
 
Kuna watu na magazeti uchwara yanapiga kelele utafikiri tuko karibia kutumbukia kwenye shimo la league Championship wakati table inaonyesha kuwa Arsenal for the last 6 premiership games iko inform only below Man Utd. Table never lie and Haters never stop.......

VIEW TABLE
POS LP CLUB RANK PTS LAST 6 MATCHES PTS
1 (1) Man Utd 1 W D W W W W. 16
2 (2) Arsenal 5 L W D W W W 13
3 (3) Tottenham 4 W D D D W W 12
4 (4) Chelsea 3 W D W D L W 11
5 (5) Man City 2 W W W D D L 11
6 (6) Reading 19 W W D W L L 10
7 (7) Southampton W D D L D W 9
8 (8) Fulham 11 D D L W L D W 8
 
Kuna watu na magazeti uchwara yanapiga kelele utafikiri tuko karibia kutumbukia kwenye shimo la league Championship wakati table inaonyesha kuwa Arsenal for the last 6 premiership games iko inform only below Man Utd. Table never lie and Haters never stop.......

VIEW TABLE
POS LP CLUB RANK PTS LAST 6 MATCHES PTS
1 (1) Man Utd 1 W D W W W W. 16
2 (2) Arsenal 5 L W D W W W 13
3 (3) Tottenham 4 W D D D W W 12
4 (4) Chelsea 3 W D W D L W 11
5 (5) Man City 2 W W W D D L 11
6 (6) Reading 19 W W D W L L 10
7 (7) Southampton W D D L D W 9
8 (8) Fulham 11 D D L W L D W 8
Mkubwa ManU wana point 68 while Arsenal wana point 47
 
Back
Top Bottom