LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

LIVE: Arsenal VS Bayern Munchen...

sagna tayari mtoeni kisha umia huyo

Basten S booked yellow card and missed next leg match
 
Basi Aseno ni timu ya kushiriki na si ya ushindani

Na msimu wao unaisha leo, they will be out of all competitions, watabakia kugombania nafasi ya nne kwenye ligi ,kama kawaida yao!
 
kipindi cha kwanza kimeisha ila arsenal hii style yao ya kutokujaribu tusubiri goli zingine kipindi cha pili..

Arsenal 0 - 2 Bay* Kroos na Muller
 
Arsenal 0~2 Bayen dk 45 kipindi cha kwanza.
Poleni Bunduki badilikeni mkirudi nafasi mnayo ila mnajikanyaga sana
Kama mtoto anayejifunza kutembea.
 
Back
Top Bottom