Nimeamua kutoiangalia hii mechi, najua ni maumivu tu!!!!!
Midfield imekufa Kabisa.........
Hapa naona kuna mengi.Arsenal hatuna kipa. Goli la pili tunafungwa na ndilo linapigilia msumari kwenye jeneza.
Mpaka dakika ya 26.... as am posting this Hatuna gola attempt hata moja..... AIBU sana.....