mfarisayo
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 5,160
- 2,004
Dah... Benchi la Beyern limesimama mbaya... kila sub watakayofanya MSUMARI....
Its a very good opportunity kwa Arsenal kutafuta magoli ya mapema, Kocha wa Bayern kaamua kucheza kamali mwanzoni
Dah... Benchi la Beyern limesimama mbaya... kila sub watakayofanya MSUMARI....
Its a very good opportunity kwa Arsenal kutafuta magoli ya mapema, Kocha wa Bayern kaamua kucheza kamali mwanzoni
Ramsey ni mzuri kwa kuhold Mipira so atasaidia kupunguza kasi ya bayern na kufanya Arsenal kumiliki zaidi mpira na kupata nafasi ya kushambulia
Una maana kwamba hiyo starting line up yao FAMBA??? If YES u r very wrong mazee.... hii inaonyesha how their squad depth is better than ours.... ukichukulia nasi pia tuna BOX RAMBO pale kati.....let me enjoy the CL b4 its gone.....
Unaleta habari za Shehe Yahya.Nasikia aseno itashinda moja na goli kutoka kwa ramsey na kesho papa ben 16 tunamzika sijui yakweli haya..
I can see some seriousness here.... COYG
Thats what we call AWAY goal.....