Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli mashabiki wa Arsenal Tunatakiwa Kuendelea Kushikilia Mabango ya "In Arsene Wenger We Trust" kweli Jamani?
 
Chelsea 4 - 0 Brentford
Manchester City 4 - 0 Leeds

hivi Arsenal tuna ugonjwa gani?

fantastic-arsenal.jpg
 
Absolutely, as you can see mnawanga hapa kwa sababu anawanyima usingizi.

wenger atunyime sie usingizi :biggrin1: u must b jokin...i mean seriously...a team which is soo uncompetitive, doesnt challenge for trophies itunyime usingizi ya nini...
 
68941_495727187152868_1357628672_n.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
598393_495703180488602_455070769_n.jpg

Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
article-2280479-17A8A9EF000005DC-776_634x533.jpg



Prof hana wasi wasi na vijana wapo ready
kwa mtanange wa kesho ... ... ...COYG
 
Prof keshachukua ndoo nne za FA tangu atinge Gunners na hakuna manager yoyote anayemzidi kwa kuchukua hilo kombe pale kwa washika bunduki ... ... ndio chababu wanoko wanaweweseka maana kuwa prof sio nchezo.. ..
 
Wakuu mpo!

Laurent Koscielny amepitishwa kucheza kwenye safu ya ulinzi baada ya kuwa majeruhi.

Kwahio sehemu ya ulinzi inasimama ikiwa na Kipa Wojciech Szczesny, Bacary Sagna, Thomas Vermaelen anakwenda kucheza kushoto nafasi ya Gibbs ambae bado ni majeruhi na Nacho Moreal ambae tayari amekwishachezea timu yake ya Malaga kwenye mzunguko wa kwanza, Per Mertesacker atasimama na Laurent Koscielny kuunda back four.

Vermaelen ana kazi ya kumchunga Thomas Muller au Arjen Robben pia atahitaji msaada wa kiungo Jack Wilshere ambae itabidi awe anarudi nyuma kidogo.

Kwenye kiungo Jack Wilshere atapambana na Javier Martinez ambae anaweza kusaidiwa na Bastian Schweinsteiger, Toni Kroos na Franky Ribery ambao ushirikiano wao utakuwa muhimu. Kwahio Wishere, Cazorla na Arteta wana kazi ya kusaidiana kupika mashambulizi ambayo yatawasaidia Lucas Podolski na Theo Walcott au Olivier Giroud kumalizia kwa kufunga magoli yanayotakiwa.

Bayern Munich nao wana safu yao ya ulinzi ikiongozwa na Philipp Lahm, David Alaba, Dante na Van Buyten. Jerome Boateng na Holger Badstuber ni majeruhi kwahio hawatashiriki mchezo huu.

Nae Theo Walcott ana kazi ya kumchosha beki wa kulia David Alaba na Podolski na Cazorla watakuwa wakipambana na beki namba nne Dante na mkoba Van Buyten.

COYG

In Arsene we trust.
 
[FONT=arial, sans-serif]Wenger writes: "The players were really hurting afterwards but you have to take it on the chin and come back with a strong response. Tonight is the perfect opportunity to do exactly that."[/FONT]

[FONT=arial, sans-serif]AW ana maneno matamu sana... but his actions are inversely proportional to what he says recently.........[/FONT]
 
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Vermaelen, Arteta, Wilshere, Ramsey, Cazorla, Podolski, Walcott. Subs: Mannone, Diaby, Rosicky, Giroud, Oxlade-Chamberlain, Coquelin, Jenkinson.
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Van Buyten, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Muller, Kroos, Ribery, Mandzukic. Subs: Starke, Robben, Shaqiri, Rafinha, Gustavo, Gomez, Tymoschuk.
Referee: Svein Oddvar Moen (Norway)
 
AW anajua f'ball kuliko mimi but hata mie nina uwezo wa kuona efficiency ya mchezaji.... HOW the hell does RAMSEY starts???? ......
 
Dah... Benchi la Beyern limesimama mbaya... kila sub watakayofanya MSUMARI....
 
AW anajua f'ball kuliko mimi but hata mie nina uwezo wa kuona efficiency ya mchezaji.... HOW the hell does RAMSEY starts???? ......

Ramsey ni mzuri kwa kuhold Mipira so atasaidia kupunguza kasi ya bayern na kufanya Arsenal kumiliki zaidi mpira na kupata nafasi ya kushambulia
 
Ameanza na Ramsey ili kuwa na wachezaji wanne wa kiungo, ukizingatia kwamba Giroud amekuwa anakosa sana nafasi nyingi za kufunga.

Kwahio AW ameona ni bora kuwa na 4 midfielders ili kujaribu kuhimili wachezaji wa mbele wa kiungo wa Bayern Munich akina Javi Martinez, Schweinsteiger, Muller, Kroos na Ribery.
 
Back
Top Bottom