Arsenal (The Gunners) | Special Thread

....ahh, it is only a game! together we stand!
 


Hakupaswa kumtoa Rosicky, huyo Carzola kachoka - alihitaji kupumzishwa kabisa hadi kwenye mechi ya Bayern!
 
Martin Keown, BBC SportArsenal 0-1 Blackburn"This is turning into a very disappointing season for Arsenal. The questions are starting to be asked. I won an FA Cup with Arsenal, and the Gunners have taken a real smack in the face today."

Where have you been Mr Keown!? Some of us asked those difficult questions years ago and nothing was done to rectify the situation.
 

Huyu Wenger haishi kuwajaribu wachezaji kwenye mechi muhimu!
 
Hii twaweza kusema ni Assault on Precinct tena mpya ya 2013
 
mmh! ngoja tuwasubiri hao munich tuone yatakayojiri, na kama watatuacha sijui..
 
Jumanne Arsenal itawashangaza watu kwani itakuwa ni moja ya matukio ya kuyakumbuka. Tunampiga Bayern goli mbili na tutakwenda Munich kulinda magoli.
 
The financial position of the club is healthy.

We do not have to worry because we run the club in a 'sensible' way.
 
The financial position of the club is healthy.

We do not have to worry because we run the club in a 'sensible' way.

Sawasawa na mwaka huu mwezi julai ndipo utakapoona Arsenal inasajili wachezaji kwa gharama hata kufikia milioni 20 pounds si pesa ipo?

Kinachofanyika ni ku-finalise uondokaji wa Arshavin, Sebastian Squillaci, Miyaichi, Bacary Sagna, pia kuuzwa kwa Chamakh na Nichlas Bendtner ambao wote mikataba yao inaisha yenyewe mwaka huu.

Wenger atatumia pesa kununua DM, RB na mshambuliaji kutoka Fiorentina.

Tusubiri tu tuone matumizi ya timu zingine maana hakuna kupokea pesa kutoka kwenye mifuko isiyoeleweka.

"In Arsene we trust" mkuu tunafahamu anafanya nini kwenye hii club.
 
The club is managed in a prudent way.

We ask for your understanding, and we will raise the price of tickets every season.

Please continue to support the club, and sorry for what happened.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…