Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

article-2279052-1774D879000005DC-718_634x308.jpg



Nothing to lose: Wenger is optimistic heading into the tie

 
ARSENAL TEAM NEWS vs Blackburn Rovers: Arsenal Starting XI: Szczesny, Coquelin, Vermaelen, Koscielny, Monreal, Diaby, Rosicky, Arteta, Gervinho, Oxlade-Chamberlain, Giroud
 
ARSENAL TEAM NEWS vs Blackburn Rovers: Arsenal Starting XI: Szczesny, Coquelin, Vermaelen, Koscielny, Monreal, Diaby, Rosicky, Arteta, Gervinho, Oxlade-Chamberlain, Giroud

Kipo sawa ... Watatafutana rovers
 
Meneja wa Blackburn Rovers Michael Appleton amewaagiza wachezaji wake wacheze kwa kujihami ndani ya eneo lao ikibidi. Na arsenal ni lazima washambulie na kupata goli ndani ya dakika 20 za mwanzo.

Hatuhitaji tena mambo ya replays zinaharibu mpango na tuna game kubwa Jumanne ijayo.
 
Wakuu mnamkumbuka David Bentley? naona yupo kwenye bench la wachezaji wa akiba wa Blackburn Rovers.

Bentley amesajiliwa kwa mkopo kutoka Tottenham Hotspurs.
 
Arsenal imepewa mpira wa adhabu karibu na goli la Rovers na Arteta anapiga mpira huo na Abu Diaby anagonga kichwa na mpira unapaa na kutoka nje kuwa goal kick.

Dakika ya 11 inakwenda magoli ni 0-0.
 
Safari hii Oxdale Chamberlain anapiga na Koscielny anapaisha kwa kichwa.
 
Gervinho kama kawaida yake anataka kupika chenga nyingi anatakiwa awe mwepesi kutoa pasi kwa Chamberlain na Rosicky ambao wanakuwa wanamsubiri.
 
Back
Top Bottom